Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

1.Ikiwa duniabitapata kuangushwa kutoka kwenye obit yake,je itadondokea wapi,nini kitatokea.
2.Ikiwa nisingeitwa jina nililonalo,ningekuwa nani au maisha yangu yangekuwaje??

IF:X=WanaUFIPA+wanamaendeleo,Y=WanaLUMUMBA.
THUS:X=MABADILIKO
Y=WACHUMIA TUMBO!!
Itabidi iondoke na other neighbour planets, moons and asteroids etc. Itaelekea upande motion yake inapoelekea kwa space haina boundary itaendelea na movement mpaka pale itakapo-collide na other bodies au kumezwa na black holes.

Changamoto kubwa itakuwa kwa viumbe hai, kwani ndio utakuwa mwisho wake. Chochote kinachokwenda karibu na jua kinaungua na chochote kinachoenda mbali na jua kitaganda....

Uzuri ni kwamba nothing kwenye space kipo stationary.

______________[emoji36][emoji2958]_______________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
1.Kabla ya kuzaliwa nilikuwa wapi...?? Na kwanini nikifa nisirudi kule nilipokuwa badala yake naenda peponi au motoni..
2.Kama dunia ni circle, na mbiguni ni juu je bara lipi ambalo juu yake ndio kuna mbingu..?
3.Je nimezaliwa kwa kusudi au bahati nasibu?kama siku ya tendo baba yangu aliproduced about millions of sperm na kila sperm ingetoa mtu tofauti na mimi, je wale wengine wanamakosa gani..Hawakuwa na bahati au kusudi la kuhishi duniani?Kwanini?

1.Mkuu kama mama na baba yako walikula sana mapapai, maziwa, mihogo na n.k basi wewe na mimi ni matokeo ya vitu hivyo. Unapokula chakula kuna elements mbalimbali unazichukua kwa ajili ya kujenga mwili. So utaona tupo kwenye cycle. Wht you have contain miaka yote ya uhai wako ukifa unavi-release, vingine kwenye atmosphere na vingine kwenye ardhi. Vinakuwa consumed na other species vinarudi tena kwenye mzunguko, vinarutubisha mimea vinarudi tena kwa viumbe vingine. Maisha yaendelea...
Peponi na motoni ni stori tu za kujifurahisha.

2. Kwenye global earth kila sehemu ni juu... huwa tunasema hivyo kutegemeana na mzungumzaji. Unaposema mbele yangu haina maana ni mbele ya mwigine.

3. Ni game of chance (probability), iliyowahi ndio iliyokutoa , otherwise isingefika/zisingefika kungekuwa na kelele za mawifi oooh hazai utesema ni tatizo la mwanamke tu.

______________[emoji36][emoji2958]_______________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
 
Itabidi iondoke na other neighbour planets, moons and asteroids etc. Itaelekea upande motion yake inapoelekea kwa space haina boundary itaendelea na movement mpaka pale itakapo-collide na other bodies au kumezwa na black holes.

Changamoto kubwa itakuwa kwa viumbe hai, kwani ndio utakuwa mwisho wake. Chochote kinachokwenda karibu na jua kinaungua na chochote kinachoenda mbali na jua kitaganda....

Uzuri ni kwamba nothing kwenye space kipo stationary.

______________[emoji36][emoji2958]_______________
" With or without religion, good people can behave well and bad people can do evil; but for good people to do evil - that takes religion.
Mwanzoni nikajua umetoka wu honey
 
Nilichogundua kwenye huu uzi wengi hatusomi biblia na maandiko mengine ya imani zetu
 
Kwann kanisa la Catholic linakuwa na maeneo makubwa (ekari za kutosha) popote duniani kuliko madhehebu mengine
 
Back
Top Bottom