Stamina
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,029
- 565
Mungu anafananaje?!Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anafananaje?!Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Mkuu aliye andika habari kwamba kuna Mungu ni binadamu kama mimi na weweNaaam Mungu yupo.
Na hii amesema mwenyewe M/Mungu katika Qur an
"Surely in the creation of the heavens and the earth and in the alternation of (Or: differences) the night and the daytime there are signs indeed for ones endowed with intellects." Qur an Surat al Imran aya 190(3:190)
"Hakika kuumbwa kwa mbingu na ardhi na kutofautiana kwa usiku na mchana ni dalili za uwepo wa Allah"
Enhee ebu twende sawa kwenye hiyo aya
Je ushawahi jiuliza ni kwa nini kuna nidhamu ya mpishano wa usiku na mchana tena bila nidhamu hiyo kuharibika ama kukosewa?? Bila shaka yupo mmiliki na anayesimamia nidhamu hiyo mkubwa tena asiyelala wala kuchoka.
Toka nje tazama juu angani utaona mbingu zilizosimama bila ya nguzo hata moja tena limetanda ulimwenguni wote.
Je umeshawahi jiuliza ni nani mjenzi mzuri hivi wa mbingu hizi tena mtandazaji mzuri pasipo na tobo wala nguzo akili yako haraka itakwambia bila shaka Fundi huyu ni yule fundi mkuu asiye na kasoro, tena mkubwa kuliko yoyote.
Tazama utaalamu uliotumika kutandaza ardhi na vitu kupita juu na chini yake jee huyu aliyefanya kazi hii atoshi kuwa ni yule mungu mkuu mjenzi wa viumbe wote!!??
Tazama uumbaji wa binadamu
Toka tone la manii hadi kuja kuwe mtu mzima kama ulivyo wewe.
Haitoshi tu kusema yule mwenye kazi hii tena aliyetukuka na kuwa na mwenye nguvu kuliko wote??
(Qur an 23:14) then We made the sperm-drop into a clot, then We made the clot into a lump of flesh, then We made the lump into bones, then We clothed the bones with flesh, and then We caused it to grow into another creation. Thus Most Blessed is Allah, the Best of all those that create."
Dalili ni nyingi sana sana sana za uwepo wa Yule aliyejuu Mfalme, Muumba mbingu na Ardhi Bwana wa watu wote.
Wacha nikubaliane na wewe.Mkuu aliye andika habari kwamba kuna Mungu ni binadamu kama mimi na wewe
Na kwa bahati mbaya sana vitu vyote ambavyo binaadamu hana majibu navyo basi atatumia hilo kama ushahidi wa uwepo wa Mungu
Huyu Mungu muweza wa yote muumba mbigu na aridhi na vyote visivyooneka kwanini ni vigumu sana kumthibitisha bila blah blah za vifungu vya vitabu vya dini zetu?
Kwasababu ukimwambia mchina au mkorea Mungu yupo kwasababu ya Quran imesema atakushangaa maana toka dunia imeumbwa yeye anajua Mungu yupo kwenye nini sijui kwa mujibu wa imani yake
Wacha nikubaliane na wewe.
Achana na hivyo vifungu vya Qur an tujadili haya machache.
Naomba nikuulize
1.Jee ukitazama juu huoni mbingu ulishawahi jiuliza nani aliyefanya kazi hiyo?
2.Jee huoni ardhi ilivyotandazwa vyema kote duniani bila kasoro, nani mwenye kazi hiyo?
3.Mtazame binadamu toka tone la manii hadi alivyo sasa Je ulishawahi jiuliza nani mwenye kazi hiyo??
Milele maana yake nini?
Kati ya kuku na yai kipi kilianza
Sent from my iPhone using JamiiForums
Inatakiwa sasa ueleze Mungu ni nani na ameanzia wapi ?Unapokuwa na wasiwasi Mungu "ameanzia wapi" bado hujui kabisa yeye ni nani
Ukijua huwezi kuuliza!
Positive na negative haziwezi kukaa pamoja kwenye tungo moja. ANAWEZA na HAWEZI hazikai pamoja ndugu. Aidha awe ANAWEZA ama awe HAWEZI. Nadhani tumeelewanaMungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
Kujiua ni matatizo ya akili wao hawana matatizo ya akili.Hivi malaika au shetani wanaweza wakajiua?
Damu
Hatuzungumzii nguvu za kupigana hapa ila kwa ujumla Mwanaume ni dhaifu kuliko mwanamke ila tu akapewa kuwa mtawala wa mwanamkeKati ya mwana mke na mwana mume nani ni kiumbe dhaifu???
Kibaya zaidi ni pale wazazi wanapotenda kama vile wanakudai kwa kuwa walikuzaa. Au utaskia watu wanakwambia " babako na mamako ndo wamekupa uhai unatakiwa uwashukuru" hii kauli ni overrated ukizingatia kuwa hukuwaomba wakuzae na kiufupi ni kuwa wao ndo walikutaka ila we hukuwataka at first place, huenda ungeambiwa uchague atakeukuzaa usingewachaguaalafu ukishazaliwa unaanza kutishwa ooh kuna jehanam oh kuna iki kuna kile...wtf kwa nn nisingeambiwa kabla ili niamue kama nikubali au niskubali kuzaliwa
jamii imekaririshwa vibaya sana yan et kwa kuwa n mzaz wako lazma umhudumie kwan mm nliomba kuletwa dunian?? yaan watu sjui kwa nn wanapenda kupelekeshwa na generalization!!Kibaya zaidi ni pale wazazi wanapotenda kama vile wanakudai kwa kuwa walikuzaa. Au utaskia watu wanakwambia " babako na mamako ndo wamekupa uhai unatakiwa uwashukuru" hii kauli ni overrated ukizingatia kuwa hukuwaomba wakuzae na kiufupi ni kuwa wao ndo walikutaka ila we hukuwataka at first place, huenda ungeambiwa uchague atakeukuzaa usingewachagua
Huwa nawaza sana🤔🤔 pia wadudu kama chawa wanafikaje au wanatoka wapi kwenye nguo chafu na angali yakua hawakuwepo mwanzoni
Hao wanakuwepo muda mrefu.sema wanakuwa wadogo sana kiasi kwamba hatuwaoni kwa macho ya kawaida...ila wakishapata makazi/hifadhi nzuri ndio wananenepa na kuwa wakubwa...nimewaza tu🤔🤔 pia wadudu kama chawa wanafikaje au wanatoka wapi kwenye nguo chafu na angali yakua hawakuwepo mwanzoni
[emoji16][emoji16] umewaza kidog Kama mimi,, wakati nimeanza kusoma nikajua n proved kabisaHao wanakuwepo muda mrefu.sema wanakuwa wadogo sana kiasi kwamba hatuwaoni kwa macho ya kawaida...ila wakishapata makazi/hifadhi nzuri ndio wananenepa na kuwa wakubwa...nimewaza tu