Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
- Thread starter
- #981
Ndio...tufanye wote wapo ndan ya nchi..hakuna raia aliyetoka nje ya nchi mkuuKwani wananchi wa nchi hiyo ya kufikirika WOOOOTE wanaishi ndani ya nchi hiyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio...tufanye wote wapo ndan ya nchi..hakuna raia aliyetoka nje ya nchi mkuuKwani wananchi wa nchi hiyo ya kufikirika WOOOOTE wanaishi ndani ya nchi hiyo?
Jibu ni hapana ,at least kwa sberia zetui like number 14
Inatoka kwa muumba..mimba inapotungwa ndio huingia kwa kiumbe na baado ya hapo kazi inaanzaKwa kuwa roho haifi, kabla ya kutungwa mimba roho ilikuwa wapi?
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Nakumbuka limejibiwa huko juuMaisha baada ya kifo
DuhSikukuu ya pasaka tunaadhimisha kufa na kufufuka kwa yesu.
Swali🙁Mathayo 26_1)ikawa yesu alipomaliza maneno hayo yoote akawaambia wanafunzi wake "mnajua Kama siku mbili hivi itakua pasaka"?
Je.kama pasaka ilikuepo kabla ya kufa kwa kristo mbona pasaka tunasherehekea kufa na kufufuka kwake?
Nasikia kuna alliens sijuihivi tunapoishi kwe hii dunia ndo watu pekee au kuna watu wengine kwe sayari zingine pia? ,mie huwa najiuliza hivi kweli tupo sisi tuu kwe hii hii dunia au kuna viumbe wengine tusio waona wanatuchora tuu?
Watakaoipima watakaa wapi?Hii sayari ya dunia ina uzito kiasi gani?
HujaelewekaHili linajibika mkuu!!
Radius ya dunia ni Km 6370 na earth ni elliptical sphere,hivyo volume yake inatafutika kirahisi tuu;unaweza kuzidisha na average density of the earth ukapata mass ya dunia!!!
kwanini mapdre hawaoiMfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Kwa MunguKwa kuwa roho haifi, kabla ya kutungwa mimba roho ilikuwa wapi?
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Na sisi wenyewe mkuuMaswali tunayojiuliza humu yatajibiwa nanani?
Wanaogopa kutokuwa wasafi kirohokwanini mapdre hawaoi
Ngoja tukufukie 6 feet..utapata majibu ya maswali yako..ALLAH AKUONGOZE.Mkuu aliye andika habari kwamba kuna Mungu ni binadamu kama mimi na wewe
Na kwa bahati mbaya sana vitu vyote ambavyo binaadamu hana majibu navyo basi atatumia hilo kama ushahidi wa uwepo wa Mungu
Huyu Mungu muweza wa yote muumba mbigu na aridhi na vyote visivyooneka kwanini ni vigumu sana kumthibitisha bila blah blah za vifungu vya vitabu vya dini zetu?
Kwasababu ukimwambia mchina au mkorea Mungu yupo kwasababu ya Quran imesema atakushangaa maana toka dunia imeumbwa yeye anajua Mungu yupo kwenye nini sijui kwa mujibu wa imani yake