Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
5.sio kila kina umbe mkuu1.ROHO NINI NA INAKAA SEHEMU GANI YA MWILI
2.UTAKUFA LINI NA SAA NGAPI ?
3.MVUA ITAANZA KUNYESHA SAA NGAPI NA ITAISHA SAA NGAPI( KWA UFASAHA)
4.UTAJIFUNGUA SAA NGAPI
5.AKILI NI NINI NA INA UMBO GANI?
Mkuu umekosa uteuzi nn?Kwanini CCM wanapinga KATIBA MPYA KATIBA ambayo Hata Wao WATAITUMIA?
Steve Nyerere ndio kakosaMkuu umekosa uteuzi nn?
NchiSheria na nchi kilianza nini?
nani? Mm?NANI ALIKUBIKIRI
washkaji flani hiviNani alimpiga risasi Tundu Lissu?
Mungu alimuuliza shetani, umemuona mtumiahi wangu Ayoub na akaruhusu watu wasio na hatia kuuwaa na shetani ili kupima imani ya Ayoub. Hii imekaaje?Masiala tena? Kwan maandiko yanasemaje mkuu kuhusu shetan na mungu?
Na akamtoa mwanae wa pekee kufa kwa ajili ya kutuokoa dhambi zetu, kwanini asingemtoa shetani ili dhambi zisiwepo kabisa, mana ndo anatusababishia dhambiMungu aliupenda ulimwengu hadi akamtuma mwanae wa pekee, kama alitupenda sana kwanini hakuzuia dhambi duniani?
DuhNa akamtoa mwanae wa pekee kufa kwa ajili ya kutuokoa dhambi zetu, kwanini asingemtoa shetani ili dhambi zisiwepo kabisa, mana ndo anatusababishia dhambi
Hapo sasa ndo tutafute majibu ndugu yanguNa akamtoa mwanae wa pekee kufa kwa ajili ya kutuokoa dhambi zetu, kwanini asingemtoa shetani ili dhambi zisiwepo kabisa, mana ndo anatusababishia dhambi
Hili ndio swali gumu zaidi duniani1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.
2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?
3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
Haya mbona yanajibika tu, ila yanahitaji experiment.1. If all the nations in the world are in debt (am not joking, even US has got debts), where did all the money go?
2. When dog food is new and improved tasting, who tests it?
3. What is the speed of darkness?
4. Who copyrighted the copyright symbol?
5. Can you cry under water?
6. Do fish ever get thirsty?
7. Can you get cornered in a round room?
8. Why do birds not fall out of trees when they sleep?
9. What came first, the fruit or the color orange?
10. Can you blow a balloon up under water?
11. Why is it called a "building" when it is already built?
12. If you were traveling at the speed of sound and you turned on your radio would you be ! able to hear it?
13. If you're traveling at the speed of light and you turn your headlights on, what happens?
14. If a person owns a piece of land do they own it all the way down to the core of the earth?
15. Where are all the big magma chambers that could produce super-eruptions?