edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Maswali yako yote yanajibika1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.
2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?
3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
1. Hiyo inaitwa evolution some gene mutation imepelekea kutokea kwa wazungu from waafrika . Maana watu weusi ndio wakwanza
2. kusingekuwepo na dunia mfumo wa jua ungekuwa na sayari 8 na ungekuwa tofauto sana maana uwepo wa dunia unachochea gravity kwa mfumo wa jua pia
3. ni story ya uongo so hamna haja ya kupatia majibu