Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Mungu amempa mwanadamu uwezo wa kushindana na Evil so kama mwanadamu atagive in to the Devil is his decision.Shetani hana nguvu kuliko mwanadamu. Na kama pangekuwa hakuna uovu duniani tungesemaje tumechagua lililo jema?Mungu anataka tumchague yeye ķwa kupenda na kwa kutaka na sio kwa sababu hakuna option nyingine.

Mungu hakutuumba tuwe marobot ,alitaka tuwe na uwezo wa kuchagua.So shetani mwache azurule tu kwa sababu hana nguvu kuliko mwanadamu (Yesu alishashughulikia hilo suala).Mungu amempa mamlaka makubwa sana mwanadamu juu ya shetani sasa kama mwanadamu atamchagua shetani na mambo yake ni yeye mwenyewe.
Kuna point hapa...asante kiongoz
 
Mtoto mchanga nani anamfundisha kunyonya
mama ....

Mtoto mchanga hana utashi wa kujua hiki wa kile..viungo vyake ndio vina'demka'.. ndio maana hata ukimshikisha kitu utaona mikono yake inarespond ...hivo hivo pitisha kitu juu ya macho yake utaona anageuka geuka kufata muelekeo...so hata mama mzazi anapompelekea chuchu(ziwa) mdomo unafunguka na action ya kunyonya inaendelea.......

Nimejaribu kwa akili yangu ya KVANT
 
as long as kuna siku hizo punje zitaisha maana yake ni finite,ili iwe milele inabidi iwe infinity
Basi tufanye akichukua punje moja ndege na kuila pale pale ilipopungua inajaa nyengine kwa muda ule ule.hapoo sasa hazitoisha
 
Kwanini tunakufa?
Tunakufa kwa sababu tunatumika hapa duniani na cell za mwili zinachoka na kuchakaa.mfano gari ikitembea kila siku baada ya miaka 10 tu au zaidi inakufa.
lkn pia tunakufa ili kujaribiwa ni nani atatenda matendo mema ili kesho akhera tuzawadiwe kwa matendo yako utakayofanya hapa duniani
lkn tunakufa ili wengine waje kuishi hapa duniani uwapishe wengine wapya na wao waone raha na chungu ya kuishi
pia tunakufa kwa sababu pumzi sio zetu ni za aliyetuumba hivyo ametupa kwa muda maalumu
 
Tunakufa kwa sababu seli zinakufa au seli zinakufa kwasababu tumekufa?
 
Yesu atakuja lini?

Mungu na Shetan watamaliza ugomvi wao lini?
Wakati mwingine jibu la swali lako ni chanzo cha swali lako.

Hakuna swali lisilokuwa na jawabu katika chochote kile tutakachojiuliza kupitia fahamu zetu, ila kuna ukomo wa fahamu zetu kuweza kuwa na majibu ya maswali yote tunayojiuliza.

Chanzo nikutokana na udumavu, ujinga na kutopevuka vyema kwa akili zetu na mara nyingi uletelezwa na binadamu mwenyewe kujiendekeza kitabia kwa kushindwa kuyakabili ipasavyo mazingira yake na uvivu tu, hili limejengwa kwa miaka mingi duniani na utamaduni wa watu wachache kufikiri kwa niaba ya wengi (elimu), kutokana na hili utufanya tuone mambo mengine hayafikiriki au hayawezekani.
 
Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?

Mungu hashindwi na chochote, kama ni hivyo basi hawezi kushindwa kubeba jiwe lenye ukubwa wowote kwani kila kiumbe chake kimo ndani ya uwezo wake, akishindwa kubeba basi huyo sio Mungu.
 
0 to 1 there infinity numbers 0.0001, 0.00012 etc

na 0 to 1000000000 pia hapo kati pana infinity numbers vile vile..
 
Wakati mwingine jibu la swali lako ni chanzo cha swali lako.

Hakuna swali lisilokuwa na jawabu katika chochote kile tutakachojiuliza kupitia fahamu zetu, ila kuna ukomo wa fahamu zetu kuweza kuwa na majibu ya maswali yote tunayojiuliza.

Chanzo nikutokana na udumavu, ujinga na kutopevuka vyema kwa akili zetu na mara nyingi uletelezwa na binadamu mwenyewe kujiendekeza kitabia kwa kushindwa kuyakabili ipasavyo mazingira yake na uvivu tu, hili limejengwa kwa miaka mingi duniani na utamaduni wa watu wachache kufikiri kwa niaba ya wengi (elimu), kutokana na hili utufanya tuone mambo mengine hayafikiriki au hayawezekani.
umejibu??
 
Back
Top Bottom