edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
KisaNafikiri kila chenye mwanzo kina mwisho isipokuwa Muumba ndiye hana mwanzo wala mwisho. Kwa kuwa roho inaumbwa basi ina mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KisaNafikiri kila chenye mwanzo kina mwisho isipokuwa Muumba ndiye hana mwanzo wala mwisho. Kwa kuwa roho inaumbwa basi ina mwisho.
No, it is expanding ila sio infinityuniverse is infinity!!
Kuna point hapa...asante kiongozMungu amempa mwanadamu uwezo wa kushindana na Evil so kama mwanadamu atagive in to the Devil is his decision.Shetani hana nguvu kuliko mwanadamu. Na kama pangekuwa hakuna uovu duniani tungesemaje tumechagua lililo jema?Mungu anataka tumchague yeye ķwa kupenda na kwa kutaka na sio kwa sababu hakuna option nyingine.
Mungu hakutuumba tuwe marobot ,alitaka tuwe na uwezo wa kuchagua.So shetani mwache azurule tu kwa sababu hana nguvu kuliko mwanadamu (Yesu alishashughulikia hilo suala).Mungu amempa mamlaka makubwa sana mwanadamu juu ya shetani sasa kama mwanadamu atamchagua shetani na mambo yake ni yeye mwenyewe.
Kwa nini baadhi ya watu ni lazima wafute kwa tishu midomo ya chupa za bia zikifunguliwa.
jiwe halifi ...sio kiumbe hiNani alimuua jiwe?
mama ....Mtoto mchanga nani anamfundisha kunyonya
duh hapo sasaas long as kuna siku hizo punje zitaisha maana yake ni finite,ili iwe milele inabidi iwe infinity
Basi tufanye akichukua punje moja ndege na kuila pale pale ilipopungua inajaa nyengine kwa muda ule ule.hapoo sasa hazitoishaas long as kuna siku hizo punje zitaisha maana yake ni finite,ili iwe milele inabidi iwe infinity
Tunakufa kwa sababu tunatumika hapa duniani na cell za mwili zinachoka na kuchakaa.mfano gari ikitembea kila siku baada ya miaka 10 tu au zaidi inakufa.Kwanini tunakufa?
Mungu Hana negativityMungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
Tunakufa kwa sababu tunatumika hapa duniani na cell za mwili zinachoka na kuchakaa.mfano gari ikitembea kila siku baada ya miaka 10 tu au zaidi inakufa.
lkn pia tunakufa ili kujaribiwa ni nani atatenda matendo mema ili kesho akhera tuzawadiwe kwa matendo yako utakayofanya hapa duniani
lkn tunakufa ili wengine waje kuishi hapa duniani uwapishe wengine wapya na wao waone raha na chungu ya kuishi
pia tunakufa kwa sababu pumzi sio zetu ni za aliyetuumba hivyo ametupa kwa muda maalumu
Wakati mwingine jibu la swali lako ni chanzo cha swali lako.Yesu atakuja lini?
Mungu na Shetan watamaliza ugomvi wao lini?
Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
nan kasema wana ugomviYesu atakuja lini?
Mungu na Shetan watamaliza ugomvi wao lini?
umejibu??Wakati mwingine jibu la swali lako ni chanzo cha swali lako.
Hakuna swali lisilokuwa na jawabu katika chochote kile tutakachojiuliza kupitia fahamu zetu, ila kuna ukomo wa fahamu zetu kuweza kuwa na majibu ya maswali yote tunayojiuliza.
Chanzo nikutokana na udumavu, ujinga na kutopevuka vyema kwa akili zetu na mara nyingi uletelezwa na binadamu mwenyewe kujiendekeza kitabia kwa kushindwa kuyakabili ipasavyo mazingira yake na uvivu tu, hili limejengwa kwa miaka mingi duniani na utamaduni wa watu wachache kufikiri kwa niaba ya wengi (elimu), kutokana na hili utufanya tuone mambo mengine hayafikiriki au hayawezekani.
Duh0 to 1 there infinity numbers 0.0001, 0.00012 etc
na 0 to 1000000000 pia hapo kati pana infinity numbers vile vile..