Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Yote yanajibika ila ntakujibu hili la pili ambalo ni wachache wanajibu lake.

Swali lako linauliza Mungu alitokea wapi

Kwanza kabisa inabidi ujue hili ndo suala ambalo watu wengi wanaodai hakuna Mungu (Atheist) walikuwa nalo na mmoja kati ya Atheist mkubwa kabisa kuwahi kutokea duniani alikuwa ni Physicist Stephen Hawking.
Katika theory zake alisema kila kitu kina mwanzo (Everything has a beggining) na katika kushabihisha hilo wakatafsiri zaidi everything MATERIAL has a beggining.

God is not Material,therefore this theory doesn't involve him.God is Immaterial being.Let us look at this, God created Universe meaning Space,time and matter and if he created those things he must be not of that nature.If he created time it means he exist out of time,if he created space and matter it means he exist before that existed that means that doesn't comprise him.

So those which existed after time was created are the only ones who fall under those who has beggining and end.God existed before time so he don't have a beggining or an end.
 
1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.

2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?

3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
1.Ishu ya races imesababishwa na hali ya mazingira over a very long period of time.

2.Mungu angeumba kingine ambacho angeona kinamfurahisha.Hii ni kwa sababu Dunia haikuwa kitu cha kwanza kuumbwa kuna ambavyo vilikuwepo kabla dunia haijaumbwa.

3.Adam na hawa walizaa minimum ya watoto 7(maana yake ni kwamba walikuwa na watoto saba au zaidi) na kwa kuwa walikuwa wanaishi miaka mingi probably wakati Kaini anazingua tayari wengine walikuwa wameshazaliwa na tayari wamekwisha kujimix kwenye maeneo tofauti tofauti.Hoja hapa iwe ni je walizaa kaka na dada au lah..The answer is Yes it wasn't a problem back then.
 
1.What cause big bang to occur?

2.What initiate evolution.

3.what was there before big bang?and what cause that "there" to even exist on it's state before big bang?

4.How can evolution and big bang explain the difference that earth have compare to other planets although they pass through same processes after big bang.(I mean there is no sign of any planet excluding earth on our solar system or even our galaxy and beyond that supports life this is fact).

3.Until now the science of brain tells us that the brain have specific sections or parts that perfoms specific functions, but it was found recently that there are some people who lost 40% or even more of their brain either from accidents or even born that way and continue to live without any negative side effects how can you explain that?

Example of those peoples are carlos rodrigues, phineas gage and takalah tan.
1&2.Those who believe in Bing bang failed to explain it,one day one Atheist scientist concluded that eventually science will answer that question as it has been observed over time science find answers for everything.Well that is for those who believe in Bing bang but not me.

I believe God created The Universe and everything in it.The Universe we see is a result of Creation not Bing bang.By saying this i repel the idea of evolution.

3.Before anything there was God. God created time,space and matter (Universe),this means created the beggining of time and matter. If God created those it means God was there before time was created,before matter was created and before space was created. Just by saying this we can see that we cannot describe God in term of time that he created himself.He exist out of time.Meaning he has no beggining or an end.
Scientists concluded that Everything Material(made of matter) has a beggining,note the word MATERIAL and if God created matter it means he is not matter and there for he is Immaterial.And Immaterial things doesnt fall under that law.
Therefore my friend God was there before anything and will be after everything.He is outside of TIME.

4.There is no any other explaination than to agree that there was an Intelligent Designer who is Immaterial,Hence GOD.
 
Yesu alipochukuliwa na roho nyikani ili ajaribiwe na ibilisi katika Mathayo 4:1 je Yesu alichukuliwa kwa nguvu, au kwa kubebembelezwa au alichukuliwa bila yeye kuwa na fahamu?
Nini uhusiano wa Roho aliyembeba Yesu mpaka kwa Ibilisi ili akajaribiwe?
In english Bible Roho iliyotajwa ni Spirit.All over the Bible tunapoona neno Spirit it simply means Holy Spirit unless iwe imefafanuliwa zaidi kwenye mstari husika. If we agree the Spirit was Holy spirit it means we agree there was no Force or any thing of that sort.

Haya yalitokea just after Jesus baptism,baada ya kushukiwa na huyo Holy Spirit na alikuwa akijiandaa kwa huduma yake hapa duniani through fasting.
 
Kumuacha aendelee kututesa wanadamu ambao Mungu anatupenda kashindwa kumcontrol.
Mungu amempa mwanadamu uwezo wa kushindana na Evil so kama mwanadamu atagive in to the Devil is his decision.Shetani hana nguvu kuliko mwanadamu. Na kama pangekuwa hakuna uovu duniani tungesemaje tumechagua lililo jema?Mungu anataka tumchague yeye ķwa kupenda na kwa kutaka na sio kwa sababu hakuna option nyingine.

Mungu hakutuumba tuwe marobot ,alitaka tuwe na uwezo wa kuchagua.So shetani mwache azurule tu kwa sababu hana nguvu kuliko mwanadamu (Yesu alishashughulikia hilo suala).Mungu amempa mamlaka makubwa sana mwanadamu juu ya shetani sasa kama mwanadamu atamchagua shetani na mambo yake ni yeye mwenyewe.
 
Kwa nini baadhi ya watu ni lazima wafute kwa tishu midomo ya chupa za bia zikifunguliwa.
 
Back
Top Bottom