Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Dunia ina uzito kiasi gan? Nani aliupima huo uzito? Alipima akiwa wapi?

Watu wanakufa sana, vyuma vinachimbwa vinatengenezea vitu halafu vinapata kutu vinaoza, misitu inachomwa kila siku, maji yanaevaporate sana, ndege zote duniani zikiruka na zikawa zimejaza watu inamana uzito wa dunia haupungui?
Mbona unauliza maswali yenye majibu kisayansi, mi nadhani tuhoji dogmas and conundrums kwa mfano baada ya kifo kuna maisha mengine, kwasababu pia kuna stori tunasikia kuna majini yana miaka zaidi ya 300 n.k
 
Hatuzungumzii nguvu za kupigana hapa ila kwa ujumla Mwanaume ni dhaifu kuliko mwanamke ila tu akapewa kuwa mtawala wa mwanamke
Emotionally mwanamke ni superior.
Lakini critical thinking anazidiwa.

So mwanamke anatawaliwa physically and critically lakini anatawala emotionally
 
Hapana si damu , ni mkusanyiko wa seli zinazotengeneza kitu kinaitwa sinoatrial node , hizo seli hai hujulikana kama pacemakers cells hizi ndiyo huwa zinazalisha kiwango fulaini ch umeme kinachofanya moyo udunde.
 
Yesu alipochukuliwa na roho nyikani ili ajaribiwe na ibilisi katika Mathayo 4:1 je Yesu alichukuliwa kwa nguvu, au kwa kubebembelezwa au alichukuliwa bila yeye kuwa na fahamu?
Nini uhusiano wa Roho aliyembeba Yesu mpaka kwa Ibilisi ili akajaribiwe?
 
Duh
 
Nini kitatokea endapo nchi flani labda ikakumbwa na janga kubwa litakalopelekea wananchi wake wote kuangamia kwa pamoja.je utaanzishwa utawala mwingine na jina lingine la nchi hiyo.. Hao watawala wapya watatokea wapi dunian??
 
1. If all the nations in the world are in debt (am not joking, even US has got debts), where did all the money go?

2. When dog food is new and improved tasting, who tests it?

3. What is the speed of darkness?

4. Who copyrighted the copyright symbol?

5. Can you cry under water?

6. Do fish ever get thirsty?

7. Can you get cornered in a round room?

8. Why do birds not fall out of trees when they sleep?

9. What came first, the fruit or the color orange?

10. Can you blow a balloon up under water?

11. Why is it called a "building" when it is already built?

12. If you were traveling at the speed of sound and you turned on your radio would you be ! able to hear it?

13. If you're traveling at the speed of light and you turn your headlights on, what happens?

14. If a person owns a piece of land do they own it all the way down to the core of the earth?

15. Where are all the big magma chambers that could produce super-eruptions?
Mkuuuu nimekuelewaaa balaaa
 
Nini kitatokea endapo nchi flani labda ikakumbwa na janga kubwa litakalopelekea wananchi wake wote kuangamia kwa pamoja.je utaanzishwa utawala mwingine na jina lingine la nchi hiyo.. Hao watawala wapya watatokea wapi dunian??
Kwani wananchi wa nchi hiyo ya kufikirika WOOOOTE wanaishi ndani ya nchi hiyo?
 
Back
Top Bottom