Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

elimu yako ya la saba kumbe unansumbua tu
Nimeamua kujusumbua baada ya kujipendekeza kujibu swali, kwa taarifa yako naelewa kuhusu ovum, falopian tube, uterus, umbillical cord mpaka mengine ambayo wewe wewe huyaelewi
 
1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.

2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?

3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
number 1..kasome theory ya prof Aljezera ,environmentalism theory (geogrephica thought) utapata majibu ya hyu professor.
 
Masiala tena? Kwan maandiko yanasemaje mkuu kuhusu shetan na mungu?
Usikurupuke wewe!! Hata biblia husomi unaropoka tu!! Mungu kukulaani sio lazima utukanie kanisani, take care fikiri kwa kina
 
Mungu aliwaumba Adamu na Eva ambao wakawazaa Kaini na Abeli.

Mbona watu waliendelea kuzaliana wakati kaini na abel walikuwa wanaume?

Basi ina maana kulikuwa na watu wengine zaidi ya kaini na abeli walokuwepo

Mbona hatujaambiwa watoto wengine?
Wlizaa na watoto wa kike tena wengi tu ila enzi hizo watoto wa kiume pekee ndo walikuwa wanahesabiwa na kuandikwa kwenye Biblia ni mpaka ulikuwa na history yaani kitu ulichofanya mpaka uandikwe
 
Biblia haija haririwa?
Sio kama vinavyohaririwa vitabu vya hadithi kuanzia wahusika umewaumbaje mpaka maudhui ys stori yako. Biblia haina kitu kama hicho ila wanahariri uchapaji ambao umefanywa na binadamu pasipo kukosoa, kupunguza wala kuongeza neno.
 
maswali yako huwa YANANIBOA sana jmn,hapo sasas hujaelewa nini?unaniuliza tena Mungu ni nini wakati nishauliza na sijui katokea wapi....
What is ur objective labda?mana sio mara ya kwanza na sio kwangu tu
Mtetezi huyo kama vijana wa Lumumba na chama dola.
 
Back
Top Bottom