Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha dah we kweli umeua.....Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
Dhambi kubwa ni kum-compare/kumfananisha Mungu na mambo ya kijinga Hakika ni laana kubwaMungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
kwa hiyo mnamjadili au?
Vipi kuhusu TID mnyama?mpaka uwe kama wao au uongee na miungu ya wanyama
Hili ni jibu rahisi kama wazazi wako sio vichwa maji na hawakutumia mvinyo wakati wanakutengeneza3: Mimba yako ilitungwa mda gani?
Unaweza ukazaa mtoto na ukashindwa kumcontrolHahahahahahaha, kama alivyomtengeneza shetani akashindwa kumcontrol
Kuna watu wa rangi tofauti kutokana na hali ya hewa na mazingira aliyozaliwa huyo mtu na ina mahusiano na genes za wazazi wa huyu mtu zaidi.1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.
2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?
3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
Sasa unajiuliza kwanini unaongozwa Magufuli?Kwann nilizaliwa tanganyika,kwann naongozwa na kikwete,
Biblia inasema baada ya kaini kutenda kosa la kumuua kaka yake walizaa watoto wengine akiwemo dada yao anaitwa SethMungu aliwaumba Adamu na Eva ambao wakawazaa Kaini na Abeli.
Mbona watu waliendelea kuzaliana wakati kaini na abel walikuwa wanaume?
Basi ina maana kulikuwa na watu wengine zaidi ya kaini na abeli walokuwepo
Mbona hatujaambiwa watoto wengine?
Mbele yako aliweka mema na mabaya ni uamuzi wako kuchagua sio dictator wa kulazimisha kuchagua kile anachotaka yeyeMungu aliupenda ulimwengu hadi akamtuma mwanae wa pekee, kama alitupenda sana kwanini hakuzuia dhambi duniani?
Ndio yeye ni nafsi ya tatu katika Mungu kama lilivyo yai kuna gamba la juu la yai kisha lile jeupe na ndani kiini ama jua la duara, mwanga wa jua na moto wa jua vyote utasema ni juaIs Jesus really god?