Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

nini kazi ya appendix kwenye mwili wa binadamu?
 
Kwanini chato inataka kuwa wilaya na mkoa kwa kujitegemea. [emoji4] [emoji111]
 
Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
Dhambi kubwa ni kum-compare/kumfananisha Mungu na mambo ya kijinga Hakika ni laana kubwa

Mungu hajaribiwi
 
nisingezaliwa ningekuwa wapi?
kwanin tumetokea tumboni na sio mbinguni?
kwanin tunawaza pepo na moto kuwa vipo mbinguni?
kwanini unajua kuwa israel ndio anaetoa roho wakati hujamuona akitoa?.
 
Muda gn USINGIZI UNATUPITIA.... na kwann UZEE haukwepeki..
 
Je Dunia kwa maana ya universe ina mwisho? Kama ina mwisho, Wanasayansi wanapotuambia dunia inapanuka huwa inapanuka kwenda wapi wakati ina mwisho?
 
1.kwa nini kuna w2 wa rangi tofauti?.wausi na weupe a.k.a wazungu afu wao ni weng duniani kuliko weusi.

2.kama dunia isingekuwepo kungekuwepo nn?

3.adam na hawa,walimuzaa kaini na abel.baada ya kaini kutenda kosa dhidi ya nduguye alifukuzwa.2naambiwa badaye alipata uzao wake. JE HUKO ALIZAA NA NANI?
Kuna watu wa rangi tofauti kutokana na hali ya hewa na mazingira aliyozaliwa huyo mtu na ina mahusiano na genes za wazazi wa huyu mtu zaidi.

Swali la tatu ukisoma kitabu cha enoch ambacho hakipo kwenye biblia utapata taarifa za malaika 200 waliozaa na binadamu
 
Mungu aliwaumba Adamu na Eva ambao wakawazaa Kaini na Abeli.

Mbona watu waliendelea kuzaliana wakati kaini na abel walikuwa wanaume?

Basi ina maana kulikuwa na watu wengine zaidi ya kaini na abeli walokuwepo

Mbona hatujaambiwa watoto wengine?
Biblia inasema baada ya kaini kutenda kosa la kumuua kaka yake walizaa watoto wengine akiwemo dada yao anaitwa Seth
 
Mungu aliupenda ulimwengu hadi akamtuma mwanae wa pekee, kama alitupenda sana kwanini hakuzuia dhambi duniani?
Mbele yako aliweka mema na mabaya ni uamuzi wako kuchagua sio dictator wa kulazimisha kuchagua kile anachotaka yeye
 
Kwanini mungu aku mteketeza shetani ? Ivi universe nzima no binadamu tu ndo wenye ufahamu au kuna wengine are we alone ? Aliyetengeneza programming language aliwazaga nn ?
 
Back
Top Bottom