Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukazaa mtoto na ukashindwa kumcontrol
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. According to Muslim religion Prophet Muhammad say that.Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Wafia dini hamna msaada wowote ule katika ulimwengu huu, zaidi ya kuendekeza unafiki na mapokeo yenu, kuuliza Mungu alitoka wapi ni kosa? Au kosa ni wewe mfia dini kuogopa kuhoji juu ya uwepo wa huyo Mungu.Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. According to Muslim religion Prophet Muhammad say that.
Ndugu yangu swal LA Pili umekufuru kabisa.
Ushaur: Jutia kosa lako na tubia kwa Iman yako(whether Islamic or Christianity)
No ushaur tuu kama nimekukosea naomba unisamehe
Wewe ndo huelewi bro, umeulizwa quantity ya infinity na sio Sign ya infinity, stick to the point.Ugumu wa swali unatokana na uwezo wako wa akili au kiwango chako cha elimu au wewe umesoma nini ukifanisha na maswali unayoulizwa nk.
Ukisoma hesabu utajua infinity ina alama yake nk.
3: Mimba yako ilitungwa mda gani?
Mimba yako ilitungwa Muda gani? Huwezi kujibu kwa sababu wakati wa kitendo hukuwepo. Baba alifanya tendo la mimba muda gani?Linajibika kiraisi, Siku hizi unaweza ona mimba unavyo tungwa kwa macho ya nyama(IVF)
Namna ndege ya Malaysia MH 370 Ilivyopotea kwenye mazingira tata na majibu hadi sasa ni utata mtupu hasa ukizingatia Mataifa Makubwa yameitafuta sana bila mafanikio.
Best answerMajanga ya kufikiri pasipo kutafakari, hashindwi chochote ; anaweza kutengeneza...ambalo HAWEZI...atakuwaje hawezi wakati hashindwi na chochote ? Tafakari chukua Hatua
Niambie kitu [emoji3] [emoji23]Nikwambie Kitu?
Sidhani kama Kaka zangu wanawezaga kulijibu
Niambie kitu [emoji3] [emoji23]
Hua najitosa najibu, "nambie dear"Unawezaga kujibu?