Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Adam alikuwa na wake 2, yaan lilith, na eva, wanefili walikuwa kizazi cha nani?, wakati cain anafukuzwa alisema awekewe alama ili asiuawe, hao watu walikuwa kizazi gani
 
Miayo inatoka wapi kwa nini ukimuona mtu anapiga miayo nawe inakupata usibishane believe mungu kakupa ukomo wa kuelewa mambo ndo maana hata kuandika ulifundishwa
 
Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. According to Muslim religion Prophet Muhammad say that.
Ndugu yangu swal LA Pili umekufuru kabisa.
Ushaur: Jutia kosa lako na tubia kwa Iman yako(whether Islamic or Christianity)
No ushaur tuu kama nimekukosea naomba unisamehe
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. According to Muslim religion Prophet Muhammad say that.
Ndugu yangu swal LA Pili umekufuru kabisa.
Ushaur: Jutia kosa lako na tubia kwa Iman yako(whether Islamic or Christianity)
No ushaur tuu kama nimekukosea naomba unisamehe
Wafia dini hamna msaada wowote ule katika ulimwengu huu, zaidi ya kuendekeza unafiki na mapokeo yenu, kuuliza Mungu alitoka wapi ni kosa? Au kosa ni wewe mfia dini kuogopa kuhoji juu ya uwepo wa huyo Mungu.
 
Ugumu wa swali unatokana na uwezo wako wa akili au kiwango chako cha elimu au wewe umesoma nini ukifanisha na maswali unayoulizwa nk.
Ukisoma hesabu utajua infinity ina alama yake nk.
Wewe ndo huelewi bro, umeulizwa quantity ya infinity na sio Sign ya infinity, stick to the point.
 
Linajibika kiraisi, Siku hizi unaweza ona mimba unavyo tungwa kwa macho ya nyama(IVF)
Mimba yako ilitungwa Muda gani? Huwezi kujibu kwa sababu wakati wa kitendo hukuwepo. Baba alifanya tendo la mimba muda gani?
 
Ni kweli kwamba ni bora kuishi US ukiwa mfungwa kuliko kuishi tanzania shithole ukiwa raia wa kawaida??!!
 
Namna ndege ya Malaysia MH 370 Ilivyopotea kwenye mazingira tata na majibu hadi sasa ni utata mtupu hasa ukizingatia Mataifa Makubwa yameitafuta sana bila mafanikio.

Allies walifanya yao
 
Back
Top Bottom