Kukudume2013
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 1,659
- 734
Udongo uliotengenezewa papuchi umetoka sayari gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udongo uliotengenezewa papuchi umetoka sayari gani?
Nani anaweza kutaja Saa,dakika na sekunde anayolala usingizi?
Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
(a)kwann hakuna mtume mweusi?....
(b) kwann walio leta uislam walifanya biashara ya utumwa na kuwahasi babu zetu? bado tukawaamin?
(c)kwann walio uleta ukristu walisababisha tuka tawaliwa? na hakuna mtume wa yesu mweusi ata mmoja?...
(d) wasinge kuja waarabu na wazungu waafrica tungekuwa tuna mwabudu mungu yupi?....
6 Then the LORD said, "Put your hand inside your cloak." So Moses put his hand into his cloak, and when he took it out, the skin was leprous [a]-it had become as white as snow.
7 "Now put it back into your cloak," he said. So Moses put his hand back into his cloak, and when he took it out, it was restored, like the rest of his flesh.
kbosho,
mbona unajidharau bwana? Hebu soma kwa makini paragraph hii:
Jibu swali; kama muujiza ulikuwa ni mkono wa Mtume Musa kugeuka na kuwa MWEUPE kisha ukarudi kwenye rangi yake ya awali. Hiyo rangi yake ya awali ni IPI?
Upo ushahidi wa kihistoria kuwa wamisri wa mwanzo walikuwa watu weusi
How black was Ancient Egypt? | Abagond
sasa jibu maswali haya mawili;
1. wale kina dada wa MIDIAN waliposaidiwa na Musa kuteka Maji mapema kule kisimani na kisha kurejea na kumwarifu baba yao kuwa wamesaidiwa na MMSIRI MMOJA kuteka maji ina maana Musa alikuwa na muonekano GANI kama muonekano wa wamisri tangu kihistoria unajulikana?
2. sasa soma Matendo ya mitume 21:38 kisha pitia hizi slides
Why was the Apostle Paul called an Egyptian if he was not a black man
Hayo maswali mengine wenzangu watachangia majibu kama yapo
Mungu hashindwi chochote? Kama ndiyo; basi mungu anaweza kutengeneza jiwe kubwa ambalo hawezi kulibeba?
1.Roho ni nini na inakaa ktk sehemu gani ya mwili?
2.Utakufa lini na saa ngapi?
3.Mvua itanzaa saa ngapi na kuisha baada ya muda gani au masaa mangapi?
4.Kiyama ni lini na saa ngapi?
Utapata usingizi saa ngapi, kwa nini bahari haijai maji ya mvua( wanasayansi watasema ni cycle),kwa nini kila binadam ni tofauti na mwingine( Uwezo wa Mungu huu),
kumbe kutokujaa bahari ushaambiwa ni cycle, wewe unataka jibu gani?
Mkuu kwa mujibu wa historia ninayoijua mimi ni kuwa Wamisri walikuwa weusi na hata Musa nae alikuwa mweusi lakini ni mchanganyiko na Myahudi
Hata Yesu nae alikuwa hivyo pia!
imeandikwa wapi hiyo historia ya wamisri, Musa na Yesu kuwa ni weusi? Source please.
Udongo uliotengenezewa papuchi umetoka sayari gani?
if there're no answers for a particular subject thenKuna maswali ambayo ktk hali ya kawaida hayana majibu na mara nyingi yanaonyesha uwezo na ukuu Wa m/mungu
if there're no answers for a particular subject then
there's a limited chance of existence of what's asked---just simple like that!