ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
Je mababu zetu ambao dini hawakuzijua maana hazikufika kwao wakati huo je siku ya hukumu watahukumiwa kama wenye dhambi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je mababu zetu ambao dini hawakuzijua maana hazikufika kwao wakati huo je siku ya hukumu watahukumiwa kama wenye dhambi?
Mungu aliumba Nuru na kisha akaumba Giza..
Kabla ya hapo kulikuwa na nini?
Je mababu zetu ambao dini hawakuzijua maana hazikufika kwao wakati huo je siku ya hukumu watahukumiwa kama wenye dhambi?
Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Mungu aliumba Nuru na kisha akaumba Giza..
Kabla ya hapo kulikuwa na nini?
Ndege ya Malaysia MH 370 iko wapi?
duniani
Kusingekuwa na ulimwengu kungekuwaje?
Angani, ardhini, majini?
toa angani
ni ardhini either baharini au nchi kavu
Kama ni Either... Or.... then huna jibu bado!
4. Who copyrighted the copyright symbol?
Kwanini wenye nguvu wanaungana kumuangamiza mnyonge........???? Kwanini wanyonge hatushikamani pamoja kujiokoa..............??????
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Hahahahaaa! Snipa unajizonga tu!
Kama haikupotea kwanini waitafute?
Si wangeifata tu na kuichukua?
Embu nipe maana ya kupotea!
usingezaliwa ungekuwa wapi?.?
Usingekuwepo!