Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Hiyo dizaini ina roho ndani ?mfano 'seli'

Mabadiliko yote ya hapa duniani yanatokana na design ambayo Mungu ameunda. Kuanzia Hali ya Hewa, Viumbe nk , Ndo maana tunabaki na Maswali Mengi Kuhusu "Roho" na "Maisha baada ya Kifo" ambapo je tutakuwa kama tunavyoota usiku ?
 
I Mean cell ina ROHO?
 
Mimi kiukweli kabisa nikifikiria na nikafikiria kuwa nafikiria katika muda ule kuwa kweli kabisa nafikiria, napatwa na kizunguzungu cha fasta
 
Hivi matajiri na masikini walipenda wazaliwe hivyo??

Kuna mtu kazaliwa na utajiri/umaskini ?
Mbona swali la chekechea hili !

Kwanini hakuna usawa wa kupata mahitaji muhimu kwa binadamu wote??

Mkuu ulitaka ! Vest nao wanawake wapate na bra(tits holder) wanaume wapate ?
Mbona haviendani ! Msichana mahitaji yake taiti ! Na mvulana suruali et all
mana Moja ya mahitaji muhimu ni clothes ! Sasa kama ulihitaji nguo za kike nao wanaume wapewe ili kuwe na usawa ! Basi akili itakuwa haiko sawa !

Kwanini binadamu tuna rangi tofauti??

Vipodozi !
 
Kuna sehemu ipo ! Ambapo watu hao hawawezi kutoa mawasiliano ! Na wanaoitafuta !

Hahahahaaa! Snipa unajizonga tu!

Kama haikupotea kwanini waitafute?
Si wangeifata tu na kuichukua?

Embu nipe maana ya kupotea!
 
nakushanga!! sababu eti hujui ukifa unafanyaje... ukifa UNAZIKWA. sasa kufa uzikwe ndo utajua kinachofuatia huko mbeleni

Unauhakika gani ukifa utazikwa?na nani? nani kasema baada ya kifo kunakujua?
 
mliongachia hapa wengi wetu tuna hofu ya kifo,muda wako utafika na uta-experience hiyo hali
 
mliongachia hapa wengi wetu tuna hofu ya kifo,muda wako utafika na uta-experience hiyo hali

nani kakuambia wakati una unakufa una experince hali flani?umejuaje wakati ukifa itakuwa hivi 'hali'?
 
Back
Top Bottom