Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Kitendo cha mtu kuhisi kuna swali ambalo halijibiki sio tatizo kwani hiyo ni hisia tufikra za nzi,hahhahahah,kati ya mi na wewe nani mwenye nazo,THINK TWICE UJIJUE,mada inasema' maswali yapi unahisi hayajibiki'...
Wala hatu deal na hisia za watu hapa maana kuna wengine wana hisia za ajabu ajabu
Hivi unajua maana ya "kufail" wewe?you must agree with me you have failed to give answers leading us back to the main THEME of this thread.......
Sijui kama unajua umuhimu wa kujua maana ya maneno maana unaweza kuja tena na kudai nauliza uliza maswali
The whole thread is absurd kama vile ambavyo wewe ulivyouliza maswali ya ajabu
Huwezi kusema "maswali ambayo hayajibiki" wakati huna hata uhakika kamka hayajibiki
Na hata kama "hayajibiki" leo bado haimaanishi "hayajibiki" bado
Hujui Mungu ni kitu gani halafu unasema "wanasayansi wamedevelop theories za kutosha"ts worldwide,it's known,tunasoma bible nk,wanasayansi washadevelop theories za kutosha kuhusu Mungu alipotokea but NO ANSWER IS CERTAIN,
Unajua theory ni kitu gani wewe?
Kwanini unadhani kuna mahusiano kati ya Mungu,sayansi na theory?
Nimeshasema hapa kitendo cha mtu kuuliza tu kuwa "Mungu katokea wapi" ni ishara ya kuonesha mtu huyo hajui chochote kuhusiana na Mungu
Kwanini ujiulize kama "kuna mahali katokea"
Mungu ana sifa gani hadi ufikie kudhani "katokea mahali"?
Huna uwezo wa kuuliza maswali na kujibu maswali utawezaje kumjua Mungu?no body knows,so hayo maswali juu ya maswali unayoleta hapa yanamislead tu watu,...hadi aje aulizwe Mwenyezi Mungu mwenyewe ndo atatueleza
Huna uwezo wa kujadiliana na mimi kwenye mambo haya binti
Jipange!