Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

fikra za nzi,hahhahahah,kati ya mi na wewe nani mwenye nazo,THINK TWICE UJIJUE,mada inasema' maswali yapi unahisi hayajibiki'...
Kitendo cha mtu kuhisi kuna swali ambalo halijibiki sio tatizo kwani hiyo ni hisia tu
Wala hatu deal na hisia za watu hapa maana kuna wengine wana hisia za ajabu ajabu
you must agree with me you have failed to give answers leading us back to the main THEME of this thread.......
Hivi unajua maana ya "kufail" wewe?
Sijui kama unajua umuhimu wa kujua maana ya maneno maana unaweza kuja tena na kudai nauliza uliza maswali

The whole thread is absurd kama vile ambavyo wewe ulivyouliza maswali ya ajabu
Huwezi kusema "maswali ambayo hayajibiki" wakati huna hata uhakika kamka hayajibiki
Na hata kama "hayajibiki" leo bado haimaanishi "hayajibiki" bado
ts worldwide,it's known,tunasoma bible nk,wanasayansi washadevelop theories za kutosha kuhusu Mungu alipotokea but NO ANSWER IS CERTAIN,
Hujui Mungu ni kitu gani halafu unasema "wanasayansi wamedevelop theories za kutosha"
Unajua theory ni kitu gani wewe?
Kwanini unadhani kuna mahusiano kati ya Mungu,sayansi na theory?

Nimeshasema hapa kitendo cha mtu kuuliza tu kuwa "Mungu katokea wapi" ni ishara ya kuonesha mtu huyo hajui chochote kuhusiana na Mungu

Kwanini ujiulize kama "kuna mahali katokea"
Mungu ana sifa gani hadi ufikie kudhani "katokea mahali"?
no body knows,so hayo maswali juu ya maswali unayoleta hapa yanamislead tu watu,...hadi aje aulizwe Mwenyezi Mungu mwenyewe ndo atatueleza
Huna uwezo wa kuuliza maswali na kujibu maswali utawezaje kumjua Mungu?

Huna uwezo wa kujadiliana na mimi kwenye mambo haya binti

Jipange!
 
Kitendo cha mtu kuhisi kuna swali ambalo halijibiki sio tatizo kwani hiyo ni hisia tu
Wala hatu deal na hisia za watu hapa maana kuna wengine wana hisia za ajabu ajabu

Hivi unajua maana ya "kufail" wewe?
Sijui kama unajua umuhimu wa kujua maana ya maneno maana unaweza kuja tena na kudai nauliza uliza maswali

The whole thread is absurd kama vile ambavyo wewe ulivyouliza maswali ya ajabu
Huwezi kusema "maswali ambayo hayajibiki" wakati huna hata uhakika kamka hayajibiki
Na hata kama "hayajibiki" leo bado haimaanishi "hayajibiki" bado

Hujui Mungu ni kitu gani halafu unasema "wanasayansi wamedevelop theories za kutosha"
Unajua theory ni kitu gani wewe?
Kwanini unadhani kuna mahusiano kati ya Mungu,sayansi na theory?

Nimeshasema hapa kitendo cha mtu kuuliza tu kuwa "Mungu katokea wapi" ni ishara ya kuonesha mtu huyo hajui chochote kuhusiana na Mungu

Kwanini ujiulize kama "kuna mahali katokea"
Mungu ana sifa gani hadi ufikie kudhani "katokea mahali"?

Huna uwezo wa kuuliza maswali na kujibu maswali utawezaje kumjua Mungu?

Huna uwezo wa kujadiliana na mimi kwenye mambo haya binti

Jipange!

the thread is not absurd,YOU ARE...
And kuna haja urudi shule ujifunze even simple terms...
Mtu anakuuliza kitu straight unakirefusha na maswali weee...
When people are debating they don't end up asking questions all the time,they answer what the other side asked,sijui unasimamia upande upi...
Usikwepeshe mada,hizi sio hisia tu,KUNA MASWALI HAYAJIBIKI DUNIANI,esp yanayomuhusu Mungu,magenius washatutangulia wakavumbua yao,leta something new acha porojo
 
em nisaidie kushangaa,kuna huyu na eiyer,sijui wanachofanya ni nini,and most of their questions hazina mantiki,

unashangaa kwasababu ni kigeni

hautaka ujue mana HUJUI

umetumia kipimo gani kujua hayana mantiki?
 
1. Ni lini CHADEMA watashika DOLA?
2. KWanini KUNGURU au samaki hana damu?
3. Imeandikwa: KUUA NI DHAMBI, lakini mbona kwanini MUNGU akikuambia "ua mtu flani" si dhambi?
4. Kuna swali (lipo kidini zaidi) atayetaka nitaliweka wazi.(litakuwa sali la 4 hili)
5. Kwanini upepo hauonekani hata kwa microscope?
 
upepo hauna sifa ya kuonekana

ccm wakitoka

unamjua mungu?

inzi anadamu?
 
upepo hauna sifa ya kuonekana

ccm wakitoka

unamjua mungu?

inzi anadamu?
Kama hauna sifa ya kuonekana ndo ujibu kwanini hauonekani...LOL

CCM watatoka lini?

KWani we unamjua Mungu pia?

Ya nzi yanatokea wapi wakati mi nimeuliza KUNGURU au SAMAKI...Hujui KUNGURU yupo kundi la ndege..JE nzi nae yumo kundini? akili za nzi hizo.
 
Nadhani maswali yote duniani hata nje ya dunia huko anga za juu yanajibika japo inaweza yasiwe na majibu sahihi. Majibu yapo ila je ni sahihi? Vilevile kila jibu ni sahihi kulingana na hoja za anaetoa jibu
 
Back
Top Bottom