Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Majanga ya kufikiri pasipo kutafakari, hashindwi chochote ; anaweza kutengeneza...ambalo HAWEZI...atakuwaje hawezi wakati hashindwi na chochote ? Tafakari chukua Hatua

Kuweza na kutokuweza n kama maji na mafuta ukiyachanganya lazima vjitenge maji chini na mafuta juu.kwa sababu tunaamini mungu anaweza kila kwa hyo 2namaanisha anaweza kuchanganya maji na mafuta yakachanganyika kabisaaa.kwa hyo mungu anaweza kutengeneza mpaka kushindwa kwake kama atashindwa bac 2takua wapuuz kumpa sfa et anaweza kila kitu.so n anaweza mpaka kushindwa kwake(cjui kama nimeeleweka heb jaribu kufikiria tena ili unielewe maana hata kuweka vzur maneno ili mpate kle ninachofikira kama kilivyo imekua ngumu kwangu)
 
Kuweza na kutokuweza n kama maji na mafuta ukiyachanganya lazima vjitenge maji chini na mafuta juu.kwa sababu tunaamini mungu anaweza kila kwa hyo 2namaanisha anaweza kuchanganya maji na mafuta yakachanganyika kabisaaa

Kwa kuwa ni Muweza wa yote.
kwa hyo mungu anaweza kutengeneza mpaka kushindwa kwake kama atashindwa bac 2takua wapuuz kumpa sfa et anaweza kila kitu.

Lugha gongana

so n anaweza mpaka kushindwa kwake(cjui kama nimeeleweka heb jaribu kufikiria tena ili unielewe maana hata kuweka vzur maneno ili mpate kle ninachofikira kama kilivyo imekua ngumu kwangu)

jaribu kuandika hoja kwa kimantiki labda nitaelewa...

Wamaanisha kuweza ni pamoja na kutokuweza ?
 
Watu wanapojiua Mungu hawaoni ?ni kwa nini huwa anakubali mtu afr aende motoni?
 
baada y ki4 ni hukumu, mungu ni alfa na omega.
 
Hayo si maswali magumu.

Hayo ni maswali ya kiimani yanayotokana na ujinga wa mwanadamu na uoga wa kufa
 
Hii sayari ya dunia ina uzito kiasi gani?

Hili linajibika mkuu!!
Radius ya dunia ni Km 6370 na earth ni elliptical sphere,hivyo volume yake inatafutika kirahisi tuu;unaweza kuzidisha na average density of the earth ukapata mass ya dunia!!!
 
Umejuaje wameweka kwenye Freezer?

kumbe nawe ni mmoja wao umeshindwa hata ona a simple semantic at my sentence very depressing je kama ukipata nyama iliyokwisha pikwa tayari na mbichi ipi utaprefer??tuanzie hapa
 
kumbe nawe ni mmoja wao umeshindwa hata ona a simple semantic at my sentence very depressing je kama ukipata nyama iliyokwisha pikwa tayari na mbichi ipi utaprefer??tuanzie hapa

Umejuaje Kama nimeshindwa??
 
Back
Top Bottom