GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
mbona hapa watu wa kabila na mgeni wapo wengi mno na wanazaliana na wenyeji huku,tena kila mkoa wapoNajua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku.
Hata hivyo ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa kabla Mgeni hajaondoka Kesho utakuwa umemuomba akuletee Watu wake Werevu ( Intelligent ) ili wapandikize Akili zao Kubwa kwa Wananchi wako wengi ambao ni Wavivu wa Kufikiri ili angalau nawe nchi yako ibadilike Kimaendeleo na iwe na Watu makini ( smart ) kama wa nchi yake.
Mwambie Mgeni ninampenda mno.
Hamna kitu nyie wanyarwanda mnapenda sifa za kijinga sanaNajua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku.
Hata hivyo ni matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa kabla Mgeni hajaondoka Kesho utakuwa umemuomba akuletee Watu wake Werevu ( Intelligent ) ili wapandikize Akili zao Kubwa kwa Wananchi wako wengi ambao ni Wavivu wa Kufikiri ili angalau nawe nchi yako ibadilike Kimaendeleo na iwe na Watu makini ( smart ) kama wa nchi yake.
Mwambie Mgeni ninampenda mno.
Alifanyaje huyu mtu? MwakibolwaSince PK landed DSM, James Mwakibolwa is the smartest millitary intelligent man in EAST AFRICA.
Na tuko katika sehemu zenu Nyeti zote.Hamna kitu nyie wanyarwanda mnapenda sifa za kijinga sana
Angekuwa na Sifa za Uwongo ulizotoa hapa angefukuzwa Congo DR wakati na kurejeshwa Tanzania?Since PK landed DSM, James Mwakibolwa is the smartest millitary intelligent man in EAST AFRICA.
Unastahili ban, yaani mgeni aache kuchuma aanze kukufundisha wewe akili za kumkata mikono asichume?Najua umezungumza nae mengi Mgeni hasa ya kutumia vyema Bandari yako Kibiashara, Ulinzi na Usalama, TEHAMA na Utulivu huko anakowanyoosha Wakata Viuno tu kila Siku.