Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 951
Mleta mada chuki tuu ndio inamsumbua, mimi ninachojua Morrison kaupiga mwingi mpaka tumeingia robo fainali, hayo mengine umbeya tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapuuzi walishaanza kutaka Kunibishia.iko wazi kabisa hiyo
ukisema ukweli unaonekana aduiWapuuzi walishaanza kutaka Kunibishia.
Naongoza Kuchukiwa JamiiForums nzima kwa kusema Ukweli, kutokuwa Mnafiki na Mpumbavu kama walivyo hao Watu wengi Wanaonichukia.ukisema ukweli unaonekana adui
Anaona haya kusema km mchezaji wao mwiziSababu za kiserekali ndiyo zipi??
Haaaaaaahaaaaa kukosa? Yule mwizi ana kesi kule akitia tu mguu wanambebaKukosa visa
Waghana wenzake ndio wanamchukia huyu mwizi mwenzako.Mleta mada chuki tuu ndio inamsumbua, mimi ninachojua Morrison kaupiga mwingi mpaka tumeingia robo fainali, hayo mengine umbeya tuu
Aliingizwa mjini mwamba wa ghana
Hakuingizwa mjini, anajuwa kila kitu, mfano wewe Bongo utanunuwa nyumba bila kusearch wizara ya ardhi? Je utanunuwa gari bila kusearch kwenye simu mmiliki halali ni nani?Aliingizwa mjini mwamba wa ghana
[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji23][emoji38] deed assignmentHakuingizwa mjini, anajuwa kila kitu, mfano wewe Bongo utanunuwa nyumba bila kusearch wizara ya ardhi? Je utanunuwa gari bila kusearch kwenye simu mmiliki halali ni nani?
Hii sio mpya, tangu anasajiliwa Yanga hizi habari zilikuwapo. Kwa hiyo sio kwamba umefuatilia, ni kwamba habari zipo kwa kuwa zilikuwapoNashukuru kwa Kunielewa, nawe Kulisemea tena Kiufafanuzi zaidi kwani kuna Majuha ( Mazuzu ) ndani ya Simba SC ( hasa Mashabiki ) walidhani naongopa, nimekosea na Kukurupuka pia wakiwa Wamesahau kuwa moja ya Sifa Kuu ya GENTAMYCINE ni Kufuatilia Jambo.
Kulichimba, Kulidadisi, kutafuta Maarifa zaidi, Kujichanganya na Watu mbalimbali, kuwa na Vyanzo vingi na aminika vya Taarifa ( Habari ) za Ndani na Ngumu, Kushauri na kutoa Suluhisho lenye Kujenga zaidi katika Jamii au Taasisi husika.
mbona hata siyo habari mpya wewe kiazi mbatata.Na GENTAMYCINE najua ili 'Kutuzuga' zaidi na Wawahadae Majuha (Mazuzu) wengi huyu Mchezaji ataambiwa ama ajifanye Kaumia Mechi yetu ya Kwanza na Orlando Pirates FC tarehe 17 April, 2022 au acheze Faulo apate Kadi Nyekundu ili sababu ya Yeye kutoenda Afrika Kusini katika Mechi ya marudiano na Orlando Pirates FC tarehe 24 April, 2022 ipatikane.
GENTAMYCINE niliwahi hapa hapa JamiiForums kuandika kuwa Mchezaji Bernard Morrison ana BAN ya Kutoingia nchini Afrika Kusini kutokana na Vitendo vyake vya Utovu wa Nidhamu kama kawaida ya Mazuzu ( Majuha ) hapa wakaanza Kunitukana, Kunidhihaki na Kunibishia juu ya hili.
Sasa Mimi huyu huyu GENTAMYCINE leo tena kwa Kujiamini kabisa nawaambieni kuwa Mchezaji Bernard Morrison ana BAN ya kuingia South Africa na tafadhali Uongozi wa Simba SC uwaambieni huu Ukweli na siyo Kuficha halafu wakaondoka nae kisha Wakamficha Zimbabwe au Lesotho na Kumlazimisha apige Picha akiwa na Watu katika Treni za Umeme kama alivyofanya Simba SC ilipoenda mwaka Jana Afrika Kusini kucheza na Kaizer Chiefs FC na Kuzitupia Mitandaoni ambapo Waswahili wenye Akili fupi wakaamini kuwa nae aliingia nchini Afrika Kusini.
Endeleeni tu Kunichukia GENTAMYCINE ila Kazi yangu kubwa hapa JamiiForums ni kuwapeni Ukweli, Kuwakosoa, Kuwaelimisha wale Majuha ( Mazuzu ) na Kusifia / Kupongeza pale tu nionapo kuna la maana / tija limepatikana.
Naipenda mno Simba SC yangu ( hata Mwenyezi Mungu anajua ), ila sipendi Unafiki au Kuficha madhaifu ambayo nayaona eti ili tu GENTAMYCINE niwafurahishe 'Followers' wangu hapa JamiiForums na wale Watu ambao Wananipenda na hunisoma sana hapa.
Mwisho namalizia kwa wale wana Simba SC Mazuzu ( Majuha ) mliopo hapa na ambao Kutwa mnanishambulia GENTAMYCINE kwa kusema Ukweli na kutokuwa Mnafiki kwa kuwaambia kuwa kama ambavyo mlikuwa mkishangilia nikiwa Nawananga (Nawasema) wana Yanga SC hapa JamiiForums na wakawa Wanatulia, basi nanyi pia safari hii tulieni hivyo hivyo nikiwa 'nimewachenjia: na sasa 'Nawakandia' ili mjitathmini na ikiwezekana mbadilike na muache Upuuzi na Uswahili wenu mlioubobea.
Gentamycin ni Yanga dam dam na haujawahi kuwa Simba hata siku moja. Ila una lundo la ID. Al rounder, nk.Na GENTAMYCINE najua ili 'Kutuzuga' zaidi na Wawahadae Majuha (Mazuzu) wengi huyu Mchezaji ataambiwa ama ajifanye Kaumia Mechi yetu ya Kwanza na Orlando Pirates FC tarehe 17 April, 2022 au acheze Faulo apate Kadi Nyekundu ili sababu ya Yeye kutoenda Afrika Kusini katika Mechi ya marudiano na Orlando Pirates FC tarehe 24 April, 2022 ipatikane.