Street Hustler JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 2,175 Reaction score 4,299 Apr 24, 2022 #41 Kwa ambao hawajui Magari makali yote na vitu vya thamani vinavyohamishika na kuuzika fasta vingi huibiwa USA na kuuzwa kwa urahisi Sana Ghana na kusambaa Africa nzima na kwenda ulaya pengine. Hvyo Morrison alikutana na watoto wa mjini wakampa kesi
Kwa ambao hawajui Magari makali yote na vitu vya thamani vinavyohamishika na kuuzika fasta vingi huibiwa USA na kuuzwa kwa urahisi Sana Ghana na kusambaa Africa nzima na kwenda ulaya pengine. Hvyo Morrison alikutana na watoto wa mjini wakampa kesi