Champion number one
JF-Expert Member
- Dec 17, 2022
- 1,560
- 4,016
Tuko pamoja mkuu.Kama unasehemu ya kukupa pesa ya kodi na kula endelea kufanya na utapata sehemu unayohitaji in the future.
Asante mkuu nimekuelewa kwa maneno yako ya busara,Mkuu
Kwenye Maisha tambua Kuna nyakati ni lazima kupitia.
Na anopaswa kupitia magumu ni binadam kama wewe...
MkuuAsante mkuu nimekuelewa kwa maneno yako ya busara,
Kuna mda natama kuongea na mtu ila Sina mtu wa kuongea naye.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hizo akili za nimesoma ndio zinakuchelewesha ziondoe kichwani haraka sana, kisha jitume kwa njia nyingine yaani jione kama huna elimu yeyote kwa sasa.Da maisha haya!
Leo nimeamka asubuhi nikiwa na simanzi kubwa moyoni. Mpenzi niliye naye kanipiga chini kisa Sina pesa za kutosha, Sina kazi Nina vyeti na kazi ndogo ndogo za kitaa zinazosababisha nilipe Kodi...
Hii ya kwako ni Cha mtoto,Watu tumesugua benchi Hakuna rangi tumeona.Da maisha haya!
Leo nimeamka asubuhi nikiwa na simanzi kubwa moyoni. Mpenzi niliye naye kanipiga chini kisa Sina pesa za kutosha, Sina kazi Nina vyeti na kazi ndogo ndogo za kitaa zinazosababisha nilipe Kodi.
Mdogo angu wa mwaka 2002 kaajiliwa jeshini JWTZ (form four) muda huu anakula mshahara uku Mimi sijui hatima ya maisha yangu, katika kuwasiliana kanambia kauli moja. Bro we si unajikuta msomi mara chuo mara nini aya kula chuo chako sasa.
Now anapendwa na Kila mtu kwenye familia. Matusi mtaani Kila kona. Watu mliosoma nao waliokuwa wanakuona best wote wanakushangaa!
Muda mwingine nakaa chini nawaza ila sijui nifanye nini. Kuna mtu aliwahi pitia haya na aliwezaje ku survive?
Asante.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Yani ukikaa kufuatilia maneno ya watu utadataDa maisha haya!

Wakati wa Mungu ndio wakati sahihi, pia usiweke kigezo cha nimesoma mbele fanya kazi inayokupa riziki as long as ni halali. Pia acha mawazo ya kuajiriwa ukiweza jiajiri usisikilize maneno ya watu wa pembeni utachelewa kufika.Da maisha haya!
Leo nimeamka asubuhi nikiwa na simanzi kubwa moyoni. Mpenzi niliye naye kanipiga chini kisa Sina pesa za kutosha, Sina kazi Nina vyeti na kazi ndogo ndogo za kitaa zinazosababisha nilipe Kodi.
Mdogo angu wa mwaka 2002 kaajiliwa jeshini JWTZ (form four) muda huu anakula mshahara uku Mimi sijui hatima ya maisha yangu, katika kuwasiliana kanambia kauli moja. Bro we si unajikuta msomi mara chuo mara nini aya kula chuo chako sasa.
Now anapendwa na Kila mtu kwenye familia. Matusi mtaani Kila kona. Watu mliosoma nao waliokuwa wanakuona best wote wanakushangaa!
Muda mwingine nakaa chini nawaza ila sijui nifanye nini. Kuna mtu aliwahi pitia haya na aliwezaje ku survive?
Asante.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Asiajiriwe kwanini?Mtu hana mtaji wa kipésa,hana bima ya afya na mengine mengi,kwanini asiajiriwe kwa taaluma yake,akapate mtaji huko,akiona vipi ndiyo aache kazi?Kumbe bado kuna wahitimu wenye mawazo ya kuajiriwa? Kwa mawazo haya umasikini kutoweka katika jamii ni shughuli pevu
Yeah mkuu niliwahi kupitia kipindi kigumu zaidi ya chako wakati nimemaliza chuo na sina ajira ndugu walinitenga marafiki na mpenzi walinikimbia lakini mungu si athumani nikaja kupata kazi kiwandani nikafanya for two years nikaondoka nilipopata sehemu nyingine now alhamdulilah ila ndugu na marafiki wananiambia naringa kwasababu siwatafuti mara kwa mara ila naishi nao hvyo hivyo ni katika kipindi hicho ndio nilijifunza kusoma vitabu vya psychology vilinisaidia sana kwa kweli kuniweka sawa mpaka leo sitaki mazoea na mtu iwe kazini iwe mtaaani naishi kivyangu vyangu maana nimegundua watu wengi ni wanafiki sasa hivi nipo sawa na my sweetheart namshukuru mungu kwa kunipa huyo mtoto ananifanya nijione mfalme kwenye hii dunia na mda si mrefu naweka ndani.Da maisha haya!