Ni maumivu gani ulipitia kipindi huna ajira?

Ni maumivu gani ulipitia kipindi huna ajira?

Mmh mkuu kuna kile kipindi TECNO unaiona kama iPhone 14 Pro

Mi nilikua nashika simu nzuri tuyaani jilikua kama wewe nazichukia sana Tecno na infinix , nilikua mtu wa.iphones haya movie inaanza umemaliza chuo, home wamezidiwa majukumu huna kazi and on top unapatwa na majanga unaibiwa na simu

Well nisikuchoshe niliibiwa iPhone 11 ikatokea sina kazi sina source ya income ya iuelewwka nikaanza kutamani hata nipate tecno ile ya elf 70 😃😃😃 by then akatpkea.bro angu akanipa tecno yake ya muda mrefu i had np optioñ zaidi ya kuchukua

Be humble mkuu
Ukishatumia Tecno Demu lazima akuache maana anaona huna akili.
 
Yeah mkuu niliwahi kupitia kipindi kigumu zaidi ya chako wakati nimemaliza chuo na sina ajira ndugu walinitenga marafiki na mpenzi walinikimbia lakini mungu si athumani nikaja kupata kazi kiwandani nikafanya for two years nikaondoka nilipopata sehemu nyingine now alhamdulilah ila ndugu na marafiki wananiambia naringa kwasababu siwatafuti mara kwa mara ila naishi nao hvyo hivyo ni katika kipindi hicho ndio nilijifunza kusoma vitabu vya psychology vilinisaidia sana kwa kweli kuniweka sawa mpaka leo sitaki mazoea na mtu iwe kazini iwe mtaaani naishi kivyangu vyangu maana nimegundua watu wengi ni wanafiki sasa hivi nipo sawa na my sweetheart namshukuru mungu kwa kunipa huyo mtoto ananifanya nijione mfalme kwenye hii dunia na mda si mrefu naweka ndani.
Hujamaliza mkuu Sasa hapo kwenye kuweka ndani nawewe unawekwa ndani Kila rangi utaona ndugu..🤣
 
Poleni sana.

Kufanya kazi ambayo una utaalamu nayo ama kwa kuisomea ama kwa kuifanya awali ni haki ya kibinadamu.

I am not making this up, nakumbuka kuwa hii ni sehemu ya "Universal Declaration of Human Rights" since December 10 1948.

Inasikitisha sana kuona haki hii ya msingi kabisa ya kibinadamu inakuwa kama bahati nasibu.

Zamani Tanzania ilikuwa ukioma, ukisoma kidogo tu, waajiri wanakufuata shule kabla hujamaliza.

Mimi mwenyewe sijapata changamoto ya ajira, nilianza kufanya kazi tangu nikiwa chuo,kwa sabau watu walinifuata tangu nikiwa mwanafunzi na kunipa kazi.Nilivyomaliza chuo na kupata distinction, ilikuwa fursa tu ya kujiongeza na kupanda ngazi katika ajira, Tanzania hii hii, kabla sijajiongeza kwenda Marekani.

Enough about me.

Nilitaka kuongelea habari za Watanzania kujiongeza kwenye soko la ajira la kimataifa. Nimesikitika sana kuona muhitimu wa mambo ya mafuta analalamika hana kazi Tanzania, wakati rais Rutto wa Kenya amekwenda South Korea akawaambia Wakenya walio huko kwamba anataka kuongeza idadi ya Wakenya walio nje.

Naelewa kwamba hatuwezi ku export generation nzima,lakini, mtu yeyote tunayeweza kumu export, especially kama tunaweza kumu export na kum replicate, that is a competitive advantage.

Napenda kuongelea internalization of the Tanzanian job market.

Kuna ajira nyingi za kimataifa, hususan mitandaoni,kwa watu wanaojua Kiingerezana wenye uwezo wa kupata internet ya uhakika.

Kiingereza na internet ya uhakika ni hangamoto za kuingia katika soko la ajira za kimataifa mitandaoni.

Kwetu sisi tulio nje ambao tunajua kuna watu wenye vipaji vingi nyumbani, ambao wakiwezeshwa wanaweza, na mara nyingine wanaweza tu bila kuwezeshwa, tunapoona ajira nyingi ambazo watu wengi wa nyumbani wanaweza kuzifanya, tunaweza kusaidia vipi?

Kuna kazi nyingi tu za $15 mpaka $30 kwa saa tunazikataa kila siku, za kufanya mitandaoni. Zinahitaji technical knowledge, Kiingereza na solid internet.

Tunaona Wahindi kibao wanafanya. Tunawaunganisha vipi ndugu zetu Watanzania wenye vipaji wafanye kazi hizi?

Kama kuna Mtanzania anakuja New York City (legally) na ana changamoto za sehemu ya kufikia,au pa kuanzia kazi, tuwasiliane.
 
Vumilia tu mkuu pambana kwa vyovyote utafanikiwa, nyakati ngumu zipo na zinapita. Binadamu asilimia 99.9 ni wanafiki sana na ndo maana mm sitaki kuendekeza urafiki na mtoto wa mtu, Kuna kipindi naweza nikaenda zangu bar nikaagiza ugali mkubwa na kitimoto pamoja na bia nikaendelea kula hata mtu ajichekeshe naweka sura ya kazi sitak mazoea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UMETISHA SANA MKUU
 
Downfall ni kawaida kwa maisha yetu haya
Hamna mafanikio yaliyonyooka,
Ukiona kakukimbia ni vizuri siyo mtu anaekufaa

Angekuwa mtu sahihi angebakia na wewe

Pambana ya hela yote kilicho chako kinakusubiri hapo mbele
 
Vumilia tu mkuu pambana kwa vyovyote utafanikiwa, nyakati ngumu zipo na zinapita. Binadamu asilimia 99.9 ni wanafiki sana na ndo maana mm sitaki kuendekeza urafiki na mtoto wa mtu, Kuna kipindi naweza nikaenda zangu bar nikaagiza ugali mkubwa na kitimoto pamoja na bia nikaendelea kula hata mtu ajichekeshe naweka sura ya kazi sitak mazoea
Tuko pmj nimejifunza kitu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tuko pmj nimejifunza kitu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Nilichekwa sana wakat naingia jkt 2016 na hapo nilikuwa nimetoka kumaluiza chuo 2015 wenzangu niliosoma nao chuo walinicheka sana nilikomaa huko jkt miaka 2 na miez 9 nikijitolea sitasahau nashukuru jasho langu halikuenda bure saiv na ajira na cheo kizuri
 
Back
Top Bottom