Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,246
- 4,877
Jamaa zangu wawili walipeleka CV hapo hadi Sasa wajaitwa walanini ni miezi mitatuNajua hali unayopitia kama una degree na uko Dar nenda ofisi za Asa microfinance zipo Upanga peleka CV yako hapo huwa huwa haipiti miezi mitatu au minne bila kuitisha usaili nafasi nyingi huwa ni maafisa mikopo kwa kuanzia utapata channel ya taasisi nyingine pia