Ni maumivu gani ulipitia kipindi huna ajira?

Ukishatumia Tecno Demu lazima akuache maana anaona huna akili.
 
Hujamaliza mkuu Sasa hapo kwenye kuweka ndani nawewe unawekwa ndani Kila rangi utaona ndugu..🤣
 
Poleni sana.

Kufanya kazi ambayo una utaalamu nayo ama kwa kuisomea ama kwa kuifanya awali ni haki ya kibinadamu.

I am not making this up, nakumbuka kuwa hii ni sehemu ya "Universal Declaration of Human Rights" since December 10 1948.

Inasikitisha sana kuona haki hii ya msingi kabisa ya kibinadamu inakuwa kama bahati nasibu.

Zamani Tanzania ilikuwa ukioma, ukisoma kidogo tu, waajiri wanakufuata shule kabla hujamaliza.

Mimi mwenyewe sijapata changamoto ya ajira, nilianza kufanya kazi tangu nikiwa chuo,kwa sabau watu walinifuata tangu nikiwa mwanafunzi na kunipa kazi.Nilivyomaliza chuo na kupata distinction, ilikuwa fursa tu ya kujiongeza na kupanda ngazi katika ajira, Tanzania hii hii, kabla sijajiongeza kwenda Marekani.

Enough about me.

Nilitaka kuongelea habari za Watanzania kujiongeza kwenye soko la ajira la kimataifa. Nimesikitika sana kuona muhitimu wa mambo ya mafuta analalamika hana kazi Tanzania, wakati rais Rutto wa Kenya amekwenda South Korea akawaambia Wakenya walio huko kwamba anataka kuongeza idadi ya Wakenya walio nje.

Naelewa kwamba hatuwezi ku export generation nzima,lakini, mtu yeyote tunayeweza kumu export, especially kama tunaweza kumu export na kum replicate, that is a competitive advantage.

Napenda kuongelea internalization of the Tanzanian job market.

Kuna ajira nyingi za kimataifa, hususan mitandaoni,kwa watu wanaojua Kiingerezana wenye uwezo wa kupata internet ya uhakika.

Kiingereza na internet ya uhakika ni hangamoto za kuingia katika soko la ajira za kimataifa mitandaoni.

Kwetu sisi tulio nje ambao tunajua kuna watu wenye vipaji vingi nyumbani, ambao wakiwezeshwa wanaweza, na mara nyingine wanaweza tu bila kuwezeshwa, tunapoona ajira nyingi ambazo watu wengi wa nyumbani wanaweza kuzifanya, tunaweza kusaidia vipi?

Kuna kazi nyingi tu za $15 mpaka $30 kwa saa tunazikataa kila siku, za kufanya mitandaoni. Zinahitaji technical knowledge, Kiingereza na solid internet.

Tunaona Wahindi kibao wanafanya. Tunawaunganisha vipi ndugu zetu Watanzania wenye vipaji wafanye kazi hizi?

Kama kuna Mtanzania anakuja New York City (legally) na ana changamoto za sehemu ya kufikia,au pa kuanzia kazi, tuwasiliane.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UMETISHA SANA MKUU
 
Downfall ni kawaida kwa maisha yetu haya
Hamna mafanikio yaliyonyooka,
Ukiona kakukimbia ni vizuri siyo mtu anaekufaa

Angekuwa mtu sahihi angebakia na wewe

Pambana ya hela yote kilicho chako kinakusubiri hapo mbele
 
Tuko pmj nimejifunza kitu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tuko pmj nimejifunza kitu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Nilichekwa sana wakat naingia jkt 2016 na hapo nilikuwa nimetoka kumaluiza chuo 2015 wenzangu niliosoma nao chuo walinicheka sana nilikomaa huko jkt miaka 2 na miez 9 nikijitolea sitasahau nashukuru jasho langu halikuenda bure saiv na ajira na cheo kizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…