We ni chizi afu limbukeni afu umezaliwa kijijini ndo maana unaishi kwa kuiga acha ujinga kama Huna cha kuongea kaa kimya ndo nyie mnakuja na matraka chuoni saiv unajiona mjanja wakati sisi Bado tunakuona limbukeniMtu na akili timamu unatumia Tecno kweli? Sijawahi ona. Bwege wewe.
Mwanaume mzma wa kuendeshwa na wanawake tatzo la kuanza kuwajua wadada ukubwani inaonekana utotoni ulikuwa unawasikia tu..... Sema we ni bwege Huna point na Huna akili ila tatzo sio wewe tatzo ni wazazi wako kukuzalia kijijini ndo maana Bado tabia za kijijini bado unazoUkishatumia Tecno Demu lazima akuache maana anaona huna akili.
Tuko pamojaHama uko ulipo ikibidi uende mkoa mwngn wenye maisha nafuu kwa kodi, chakula piga yoyote au biashara yoyote. Hakiksha uko utakakohamia wawe hawajui cv yako weka kando elimu yako.
Mi nimewahi kuosha magari mbezi na wkt mwngn silipwi hata nawafulia madereva na makondakta nguo zao za kazi wakawa hawanipi hata mia hapo nina degree, niliamua kuhama dar kuja mkoa nimefungua biashara zng maisha yanaenda tu.
FactNyakati ngumu hazidumu. Mwizukulu mgikuru 2023
Ina maan ww hao wenye pesa na ni waajidiwa huwajui ama?umewahi kuona muajiriwa tajiri? Yaani unapata hela nyingi una miradi yako. Hao wanasiasa wanajua ni wapi watoto wao wapate ajira, yaani mirija ya hela itiririke muda wote, sehemu kama TRA, Bandari na kwingine kwenye pesa za kupiga ngawira
Si umemuanza@Moderator Active BlackBold
Msaada huyu mtu Ni mkorofi na anatumia lugha isiyo ya stara na anaharibu maana ya uzi wangu
Asante.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Nitakuja soon tu. Mwanzoni mwa muongo ujaoPoleni sana.
Kufanya kazi ambayo una utaalamu nayo ama kwa kuisomea ama kwa kuifanya awali ni haki ya kibinadamu.
I am not making this up, nakumbuka kuwa hii ni sehemu ya "Universal Declaration of Human Rights" since December 10 1948.
Inasikitisha sana kuona haki hii ya msingi kabisa ya kibinadamu inakuwa kama bahati nasibu.
Zamani Tanzania ilikuwa ukioma, ukisoma kidogo tu, waajiri wanakufuata shule kabla hujamaliza.
Mimi mwenyewe sijapata changamoto ya ajira, nilianza kufanya kazi tangu nikiwa chuo,kwa sabau watu walinifuata tangu nikiwa mwanafunzi na kunipa kazi.Nilivyomaliza chuo na kupata distinction, ilikuwa fursa tu ya kujiongeza na kupanda ngazi katika ajira, Tanzania hii hii, kabla sijajiongeza kwenda Marekani.
Enough about me.
Nilitaka kuongelea habari za Watanzania kujiongeza kwenye soko la ajira la kimataifa. Nimesikitika sana kuona muhitimu wa mambo ya mafuta analalamika hana kazi Tanzania, wakati rai Rutto wa Kenya amekwenda outh Korea akawaambia Wakenya walio huko kwamba anataka kuongeza idadi ya Wakenya walio nje.
Naelewa kwamba hatuwezi ku export generation nzima,lakini, mtu yeyote tunayeweza kumu export, export kama tunaweza kumu export na kum replicate, that is a competitive advantage.
Napenda kuongelea internalization of the Tanzanian job market.
Kuna ajira nyingi za kimataifa, hususan mitandaoni,kwa watu wanaojua Kiingerezana wenye uwezo wa kupata internet ya uhakika.
Kiingereza na internet ya uhakika ni hangamoto za kuingia katika soko la ajira za kimataifa mitandaoni.
Kwetu sisi tulio nje ambao tunajua kuna watu wenye vipaji vingi nyumbani, ambao wakiwezeshwa wanaweza, na mara nyingine wanaweza tu bila kuwezeshwa, tunapoona ajira nyingi ambazo watu wengi wa nyumbani wanaweza kuzifanya, tunaweza kusaidia vipi?
Kuna kazi nyingi tu za $15 mpaka $30 kwa saa tunazikataa kila siku, za kufanya mitandaoni. Zinahitaji technical knowledge, Kiingereza na solid internet.
Tunaona Wahindi kibao wanafanya. Tunawaunganisha vipi ndugu zetu Watanzania wenye vipaji wafanye kazi hizi?
Kama kuna Mtanzania anakuja New York City (legally) na ana changamoto za sehemu ya kufikia,au pa kuanzia kazi, tuwasiliane.
Kila Simu ukipiga wanajua unataka kuomba hela hata kama unataka kuwasalimu.Cha kufanya punguza mazoea pambana
We mzee shati zangu vip?Nyakati ngumu hazidumu. Mwizukulu mgikuru 2023
Mleta mada pita na hizi nondo utakuja kumshukuru huyu mwambaMkuu
Kwenye Maisha tambua Kuna nyakati ni lazima kupitia.
Na anopaswa kupitia magumu ni binadam kama wewe.
Tambua ni nyakati za kumjua.nani wako na nani alikufuata kwa ajili ya vitu vyako.
Ni nyakati za kujua ni wapi penye ujuzi au taaluma au elimu gani uboreshe Ili kuwa mzuri zaidi.
Kataa kabisa kujilinganisha na mwingine zaidi yako.
Umri si kigezo Cha kushindwa wala kufanikiwa,Ila ni Ile hali ya kuthubutu kufanya mambo yako Kila siku.
Shukuru na furahia Kila hatua unayofanya haijilishi ni ndogo kiasi gani inayokupa tumaini na kukuonesha unaelekea kupiga hatua Fulani Kila siku.
Acha wacheke,Na wakati wakicheka nawe Cheka,Ila hakikisha cheko lao hulichukulii kama majungu,Bali hamasa ya kuamka Kila siku na kuzidi kujiboresha.
Hatufanikiwi kwa kuumizwa tu na maneno ya wengine kuja kwetu,Bali kunyanyuka na kujituma zaidi pamoja na kutafuta au kutengeneza mbinu nyingi za kutupatia riziki.
Licha ya yote yanayoendelea zingatia hili,
"NYAKATI NGUMU HAZIDUMU"
Karibu PM kwa ushauri zaidi.
Ulisema unahitaji ngapi kijana midabwadaWe mzee shati zangu vip?
Mbili mzee wangu mgikuru nazipataje?Ulisema unahitaji ngapi kijana midabwada