Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana!Juzi jumatano nilikua namnunulia mtu voucher kwenye max malipo ya elfu 10 nikakosea namba ikaenda kwa mtu mwingine. Leo asubuhi nilikua namtumia dogo hela nikakosea hapa nasubiri ndani ya hizi siku 3 irudishwe hiyo hela maana ilikua ni hela ya dogo nimepewa na mtu nimpe ikapitishwa kwangu.
Kinachoniuma zaidi ni sasa hivi nilikua nalipia tena king'amuzi nimekosea namba elfu 69 yangu imeenda na maji.
Inawezekana nina mawazo sana bila kujijua ndo maana nakosea sana au nimekua mzembe tu? Maana hali Hii si kawaida kabisa
Sawa mkuu nimekuelewaishu ya pesa shughulikia kwanza ukiimaliza (kama itawezekana) ndio uende kwa msaikilojia ili akusaidie tatizi lako la mawazo na kukosa umakini lisijirudie siku za baadae..
Naamini ukipewa huo ushauri utabadilika kadiri siku zinavyokwenda
Tena nyege mshindo..!Poole nyege hzo
hahaha[emoji23][emoji28][emoji23] yani weweePoole nyege hzo
Umeshauri vemaishu ya pesa shughulikia kwanza ukiimaliza (kama itawezekana) ndio uende kwa msaikilojia ili akusaidie tatizi lako la mawazo na kukosa umakini lisijirudie siku za baadae..
Naamini ukipewa huo ushauri utabadilika kadiri siku zinavyokwenda
karibu [emoji4]Asante Michael Ealy
Duuh! Nyege mshindo hizo..! Kuwa makini pasije pakaziba!Asante mkuu. Ilikua November
Si unajua tena.Mtoto mzuri bora alalamikie vingine sio jambo lililo kwenye uwezo wangu kama hili.[emoji23][emoji23][emoji23] naona wataka kamatia fursa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji377]Poole nyege hzo
Shukrani mkuuUmeshauri vema