Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Bila shaka ni msukuma wewe.Ugali mkubwa halafu pembeni kuna ka ugali kadogo ambako ndio kanatumika kama Mboga.
ushamba huo binti kiziwiChips na dagaa, tena huwa na crave kabisa.
Huwa wananicheka watu 🥲
Dah! unaonaaaa!!!! 😀😩ushamba huo binti kiziwi
Wala sijawahi kufika huko.Bila shaka ni msukuma wewe.
Mi niliona wanachovya ugali kwenye mtindi kama mboga 😳Mtindi unamwagiwa juu ya wali kama mboga sikuujaribu ila vilinishangaza🙁🙁🙁🙁
Tambi dagaa is weird🫢 bora pilau samakindizi dagaa, ugali kunde, makande nyama, tambi dagaa
Kajaribu wali mlenda mkuu, ni tamu sana.Tambi dagaa is weird🫢 bora pilau samaki