Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

Nilishaenda mahali nikakaribishwa ugali na supu... alafu nyama naambiwa ya pori, nyeekundu kishenzi nilishindwa kula .... !!! Supu na nyama havina ushirikiano kila kitu utadhan kimechemshwa kivyake.... niliekt nimeshiba, bas wakanipa mtindi nikapiga kama glass 2.... nikalalia hayo maziwa! Huko kanda ya ziwa sitasahau!
 
Back
Top Bottom