Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

Ntatoa sadaka jumapili ijayo kwa kupata mtu aliyeelewa hii combo 😀 Mi huwa naambulia tu wanaonicheka! 🤣

Ndio maana we are sisters.
🤣🤣
Inanoga sana sema hawajawahi kujaribu. Kuna rafiki yangu alinikuta nakula akashangaa, alivyoonja nae kawa mdau.
 
Back
Top Bottom