The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Kwani wengine wakila hua vinaenda mgongoni?Inategemea na tumbo wengine freshy tu😅
😀 😀
Kwani wengine wakila hua vinaenda mgongoni?Inategemea na tumbo wengine freshy tu😅
Hii dawa ya ngiri 😃😃Uji+nyanya chungu/ntole😎
Ni balaa sana mkuuLazima usababishe Air Pollution.
Tajiri wa Kigamboni lazima ushangae.Hii dawa ya ngiri 😃😃
Utumbo unakuwa haujazoea unaona vitu vigeni😂😂Kwani wengine wakila hua vinaenda mgongoni?
😀 😀
Kama ndio mkeo usiku ni kukomeshana tu aisee😅Tajiri wa Kigamboni lazima ushangae.
Tumbo linakua limepitishwa kwenye mitaa migeni sio? 😀Utumbo unakuwa haujazoea unaona vitu vigeni😂😂
Si ndio! Unfamiliar combo lazima ikuletee bomu, or else we ndio makazi yao🤭Tumbo linakua limepitishwa kwenye mitaa migeni sio? 😀
Kuna vyakula ukivichanganya unapata sumu...Nikikosa kazi huwa napika vitu vya aina hii😂
Nilisikia matango na asali ni sumu kumbe na matembele🙌🏾Kuna vyakula ukivichanganya unapata sumu...
NB. Asali na matembele. N.k
Kwenye friji langu Kuna asali na matango ngoja nikayatoe niki rudiiNilisikia matango na asali ni sumu kumbe na matembele🙌🏾
Hatari duhh!! Asali tu ni sumu kwa ng’ombe, sijawahi kusikia binadam kala matango na asali kafariki! Kwanini unatunza asali kwenye fridge😂Kwenye friji langu Kuna asali na matango ngoja nikayatoe niki rudii
NB. True ni kweli ukipaka asali kwenye majani mbuzi na ng'ombe wanakufa wakila hayo majani wanavimba matumbo.
Pia Kuna kisukuma wanaita MAKAYEWA/ MIOGO MICHUNGU MAGANDA YAKILIWA NA MBUZI HUFA KWA KUVIMBA MATUMBO
Yanakua kama makisamvu ila yanatoa MIOGO MICHUNGU unayajua..Hatari duhh!! Asali tu ni sumu kwa ng’ombe, sijawahi kusikia binadam kala matango na asali kafariki! Kwanini unatunza asali kwenye fridge😂
Mi ni msukuma ila siyajui hayo makayewa, gashi ole kaka wane😂
Mbona huo hauna shida kabisa kama ccm walinyunyuzia soda juu ya wali😂 Hata mashuleni tumekunywa uji na maknde😂Wali halafu mboga ni uji mtu anatia kwa juu na kula kwa kijiko!!😀
Hmm hapana kwakweli, najua tu ipo michungu ila sijui miti yake ikoje..Yanakua kama makisamvu ila yanatoa MIOGO MICHUNGU unayajua..
Daah mimi nashaanga sana watu wanaokula Makande na mtindi au unakuta mtu anakula ndizi za kupika na mayonaisse.
Ni mchanganyiko wa chakula gani umewahi kumuona mtu akila ukapigwa na butwaa?
Mkuu hii mbona kawaida sana? Mimi nimekula sana hasa siku naumwa na vyakula vya kukaanga sitaki. Mimi mchanganyiko ulionishangaza nilipoona watu wanakula ni mihogo ya kuchemsha unanywea na uji!Mtindi unamwagiwa juu ya wali kama mboga sikuujaribu ila vilinishangaza🙁🙁🙁🙁