macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Bla kusahau mtindo wa megenge ya Dar wa kuagiza chapati chai na kuweka sukari kwenye maharage muda wa asubuhi Mshana Jr najua wewe hii unaijua sana...Chapati na maharage
Sielewi taste ya hiyo combo ikoje na sitaki kujua
Pilau mixer samaki
Samaki mixer chips
Ugali mixer mtindi
Wanaoweka sukari kwenye kande π
Nimecheka kweli kweli... du... wee mkali. Kna wengine wananywea chai kwa ndizi mbivu, si ajabu na wewe humu nako umo.Chips na dagaa, tena huwa na crave kabisa.
Huwa wananicheka watu π₯²
Ila jamani ni tamuuu! Jaribuni muone haha πNimecheka kweli kweli... du... wee mkali. Kna wengine wananywea chai kwa ndizi mbivu, si ajabu na wewe humu nako umo.
Mbona unaweza kutapikaa kabisaaMtindi unamwagiwa juu ya wali kama mboga sikuujaribu ila vilinishangazaππππ
Ugali mkubwa halafu pembeni kuna ka ugali kadogo ambako ndio kanatumika kama Mboga.
TAFUTA HELA, au njoo hapa itigi nikupe.Mimi niliagiza kwa Mama ntilie wali maharage ila kwenye kupakua Maharage atumie kijiko anacho kitumia kwenye mchuzi wa Nyama.
Wanapanga kuwamalizaaaaa π€£Uji+nyanya chungu/ntoleπ
Ndio mbona wengi tu kukata gesi..Ndio ndio
Mtu anaweka sukari kwenye maharage π€¦ββοΈ
Ni sawa ni wengiNdio mbona wengi tu kukata gesi..
Tena dagaa wa Mwanza, taamu.Chips na dagaa, tena huwa na crave kabisa.
Huwa wananicheka watu π₯²