Ni mchanganyiko gani wa vyakula wa ajabu ambao umewahi kuujaribu?

Ntatoa sadaka jumapili ijayo kwa kupata mtu aliyeelewa hii combo πŸ˜€ Mi huwa naambulia tu wanaonicheka! 🀣

Ndio maana we are sisters.
🀣🀣
Inanoga sana sema hawajawahi kujaribu. Kuna rafiki yangu alinikuta nakula akashangaa, alivyoonja nae kawa mdau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…