Akili kubwa zinaongelea maendeleo.
Akili za kawaida zinaongelea matukio.
Akili ndogo (mbovu) zinaongelea watu.
Yule bibi mdini diniNimeona Post ya Senior Member mmoja akilalamika, nikapata wazo la kuandika hii Thread.
Kuna member humu tunawachukia kutokana na Maandishi yao, Namna ya Uandishi wao, kuna wengine wakiona Uzi mpya umetoka kwa huyo member hawana Muda hata wa kuufungua, zaidi ya Kusonya kimoyomoyo.
Mtaje member ambaye humpendi then tueleze Sababu.
Labda anaweza kupita hapa, akaona jina lake.
Akajirekebisha.
Tupo time zone tofauti. Nilipo ndiyo kwanza saa kumi na nusu mchana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi hujalala?! Babu wampeti peti saa ngapi lakini?!!
Tupo time zone tofauti. Nilipo ndiyo kwanza saa kumi na nusu mchana.
Unanza na @ kabla ya ID yake. Cute Wife unaitwa huku.
Kiburi ni kingi🤣 ole wako!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzuri sina njaa za kuhongwa!!!
Nina pesa za kutosha za kukulipia pale MUST bila kutegemea mkopo dogo,na nikakupangia apartment forest mpk unagraduate na ukitaka kurudi Dar nakukatia ticket Air Tz go n return bado pesa za kuwahonga pisi za kinyiha na kisafwa zote nakuwekea
Kiburi ni kingi[emoji1787] ole wako!!!
Unaleta Vayolence sana 🤣[emoji23][emoji23][emoji23] cousin wangu uko na pesa mingi kwann nisiwe kiburi???
Unaleta Vayolence sana [emoji1787]