Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Kuna jamaa umu ndani ya Jf yeye kila habari, trend au matukio atayafungulia nyuzi.

Anajifanya kila kitu na kila nyanja yeye anajua. Ni m'bishi uyo kama mshipa.
Hapendi kukosolewa pale anapokosea na muongo muongo sanaaaaa.

Ni mtu wa kuchukua habari toka vyanzo vingine na ku'paste hapa na kuaminisha watu ni bandiko lake halisi, kwa kifupi jamaa ni zero kabisa.
 
 



Sio Mzee wa Msata huyo....!?
 
Nikijua ID ni ya manzi huo ugomvi hauamuliki

Inshort I hate story zao huku, comment zao ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ