Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Ni member gani JF humpendi ama unamchukia, ila sio kwa ubaya?

Rice with beans is among fav foodie for most of Tanzanians... but table? You can't serve my plate from dirty table 😏

Nina samosa kadhaa hapa, njoo na fanta baridi tule View attachment 2681934
🤣🤣🤣🤣. 🚮🚮🚮 Zina maharage ndani hizo. Sizitumiagi natumiagi zenye nyama embu kata tuone ndani kupoje.
 
Depal Lenie Darlin bado mnaringishia kula pizza.

Tarangire tumeenda kwanzia class 4 sio sehemu ya kuvimba kabisa mngepelekwa dubai nyie si mngegongwa mtungo na mkawzjumlisha na ndugu zenu wa kike.

Mnapata exposure ya vitu vingine too late in life.. 🤣🤣🤣
Adventures and game drive has no expire date.. tafuta hela uwende tena,, vya karne ya 10 sio vilivyopo karne ya 21.

pole totooo 😄😄
 
Adventures and game drive has no expire date.. tafuta hela uwende tena,, vya karne ya 10 sio vilivyopo karne ya 21.

pole totooo 😄😄
It was 2013 though. Kumebadilika nn kwani? Kuna cha ziada au maana sana

Nendeni dubai kama mna hela? Sio mnapelekwa mbunga za wanyama zenye ukame kwa nguvu ya dume
 
It was 2013 though. Kumebadilika nn kwani? Kuna cha ziada au maana sana

Nendeni dubai kama mna hela? Sio mnapelekwa mbunga za wanyama zenye ukame kwa nguvu ya dume
Shule yako haijakuelekeza kuhusu domestic tourism?

Inshallah tutaenda hata ikiwa karne ya 22🙏
Endelea kutuombeea kheri totoo.
Ila for now let us explore our beautful Tanzania.
 
karne ya 22🙏
Utakuwa kaburini. And isitoshe it ain't a big deal.

Dubai.
Dubai.
Dubai.
Dubai. Ndo mpngo mzima mamilioni yanateketea kwa siku. Hapo ndo tutakuona rich bitch
 
Utakuwa kaburini. And isitoshe it ain't a big deal.

Dubai.
Dubai.
Dubai.
Dubai. Ndo mpngo mzima mamilioni yanateketea kwa siku. Hapo ndo tutakuona rich bitch
Tarangire tu umeenda 2013
And this is 2023
Ten yrs passed
Huna hata wazo la kuwazua mabadiliko?

Dubai utaota ndotoni we local bitch 😁
Sere tu hapo utachora chini.
 
Tarangire tu umeenda 2013
And this is 2023
Ten yrs passed
Huna hata wazo la kuwazua mabadiliko?

Dubai utaota ndotoni we local bitch 😁
Sere tu hapo utachora chini.
🤣🤣🤣🤣. Duuuh sere kweli.

Uzuri nina muda wa kutosha wa kupanga. Sio kesi hata.
 
Sifa za babaako na wajomba zako naona unaziweka hapa.

Mmelaniwa ndo maana watoto mnazaliwa michangudoa. Waambie wakakomboe viuno vyao na uzao wao.

Waache kuzaa ma ndulukumila
Kiporo cha ubwabwa kina shida😂😂😂
Tulia dogo, tuliaaaaaaa
Hapo umefoka mwnywe mpaka unashindwa kupumua
Kazaaaa dogo kazaaa ukijilegeza unapumuliwa😆😆😆
 
Back
Top Bottom