Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Ni member(s) gani wa JF ungependa kukutana naye

Wasanii wengi sana huku + wasio na kazi kama mimi lakini wanajifanya maisha saafi

Distributed Denial-of-Service

Kila mtu humu ana nyumba na ana gari na bank account imefurika
Ila sasa atokee mmoja ana tatizo akaomba sufuria tu au hela ya kula hapo ndio utajua maskini ni wengi [emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
ujumbe hapa [emoji115] umeniponyoka bila kumalizia
Kama unatumia JF app Just gusa comment uliyokosea mara moja then fata Izo spana hapo juu and edit.
IMG-20191231-WA0000.jpeg

Distributed Denial-of-Service
 
Attachments

  • IMG-20191231-WA0000.jpeg
    IMG-20191231-WA0000.jpeg
    7.8 KB · Views: 1
Kila mtu humu ana nyumba na ana gari na bank account imefurika
Ila sasa atokee mmoja ana tatizo akaomba sufuria tu au hela ya kula hapo ndio utajua maskini ni wengi [emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hahahaha

Ila wengi wanaogopa Nyete style ndio maana kuchangia Inakua shida.

Distributed Denial-of-Service
 
Hahahaha

Ila wengi wanaogopa Nyete style ndio maana kuchangia Inakua shida.

Distributed Denial-of-Service

Kuchangia sio tatizo Mkuu ila kashfa na dhihaka atakazozipata mpaka anajuta kwanini alikuja kuomba
Kweli watu wana hela humu mpaka wanakuwa na kuburi Kweli Kweli [emoji2957]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kuchangia sio tatizo Mkuu ila kashfa na dhihaka atakazozipata mpaka anajuta kwanini alikuja kuomba
Kweli watu wana hela humu mpaka wanakuwa na kuburi Kweli Kweli [emoji2957]

Sent from my iPhone using Tapatalk
Get together party ndio Itawaumbua wengi, Ila nahisi wengi hawaezi kwenda kuogopa aibu

Distributed Denial-of-Service
 
Back
Top Bottom