Lets Get Together
JF-Expert Member
- Nov 26, 2019
- 258
- 429
- Thread starter
- #161
Fanya utafiti wako upya, kuna smart people wengi sana huku.
Distributed Denial-of-Service
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fanya utafiti wako upya, kuna smart people wengi sana huku.
Wasanii wengi sana huku + wasio na kazi kama mimi lakini wanajifanya maisha saafi
Distributed Denial-of-Service
Kama unatumia JF app Just gusa comment uliyokosea mara moja then fata Izo spana hapo juu and edit.ujumbe hapa [emoji115] umeniponyoka bila kumalizia
Mdogo mdogo on foot
Huyu hata leo ukiamua unaonana nae
Hahahahahahanmepishana nae pale kairuki yupo na mume wake,ni mjamzito sasa!
nasikia n ujauzito wa mapacha,maana tumbo lake n hapa na kuleee
Ana chura?Numbisa , ili nile tunda lake kimasihara
So many smart people In JF, kweli unakosa hata mmoja?
🤣 🤣 🤣 🤣 subiri kwanza nitaleta mrejesho, baada ya get togeza partyAna chura?
Mimi natamani kukutana na yule dada anaechukia wanaume weupe, yule aliekukataa![emoji41][emoji41][emoji41]
HahahahaKila mtu humu ana nyumba na ana gari na bank account imefurika
Ila sasa atokee mmoja ana tatizo akaomba sufuria tu au hela ya kula hapo ndio utajua maskini ni wengi [emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Mimi natamani kukutana na yule dada anaechukia wanaume weupe, yule aliekukataa![emoji41][emoji41][emoji41]
Kama yupo serious na anataka kimasihara atatuma nauli
Hahahaha
Ila wengi wanaogopa Nyete style ndio maana kuchangia Inakua shida.
Distributed Denial-of-Service
Get together party ndio Itawaumbua wengi, Ila nahisi wengi hawaezi kwenda kuogopa aibuKuchangia sio tatizo Mkuu ila kashfa na dhihaka atakazozipata mpaka anajuta kwanini alikuja kuomba
Kweli watu wana hela humu mpaka wanakuwa na kuburi Kweli Kweli [emoji2957]
Sent from my iPhone using Tapatalk
huamini kama atajibu?haaa haa jamani. Akikujibu nitag