Ni member yupi mpya unaona ana trend sana JF

Anatrend kwenye issue gani?

Kama unaulizia kutrend kwa ujinga basi wewe ndio unatrend,haya nenda sasa ukajipongeze na Pepsi baridi kwa Mangi,atakuja kulipa mume wa Dada yako akitoka kazini.
 
Anatrend kwenye issue gani?

Kama unaulizia kutrend kwa ujinga basi wewe ndio unatrend,haya nenda sasa ukajipongeze na Pepsi baridi kwa Mangi,atakuja kulipa mume wa Dada yako akitoka kazini.
HEBU weka japo uzi wangu mmoja unaona ni wakijinga..?
 
Zama hizo nikiwa bado mjinga mjinga, nilijua watu wote wanaojiunga jf ni wenye akili timamu sasa ndio naona kumbe ni kinyume chake.
 
HEBU weka japo uzi wangu mmoja unaona ni wakijinga..?
Kitendo cha kuandika maneno kama Zanzibali,kujalibu tayari uzi unaangukia kwenye ujinga

 
Kama una uhakika ni ujinga sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…