Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?


Mimi namkubali huyu hili ni bandiko bora sana natamani wanaume wengine wajifunze
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hakika wewe alokutuma kwangu aseee kakutuma mtu sahihi kabisa πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
Oyoooooo.!! Watu weweeeee!!
Nakupenda una vibe flan hivi huna muda na viposongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naomba urud ukatag io mesej nlosema napenda pesa lakin unanini weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nishalewa naanzaje kutafuta micomment ya JF ilivyo mingi, we huogopiiii? 🀣🀣🀣
 
Watu mna vipaji jamani
Si
Mvitumie kwenye kuleta maendeleoπŸ˜…πŸ˜…
 
Nishalewa naanzaje kutafuta micomment ya JF ilivyo mingi, we huogopiiii? 🀣🀣🀣
We atakam iwe ni kaka ako kweli kanitaka nitamkataa,,wifi gani unamaneno iviiiπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…