Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Mimi namkubali huyu hili ni bandiko bora sana natamani wanaume wengine wajifunze
 
Watu mna vipaji jamani
Si
Mvitumie kwenye kuleta maendeleo😅😅
 
Back
Top Bottom