Naomba ulale dada,,hii ni usingiz inachati apa π€£π€£π€£π€£ππΎππΎπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈπΆπΎββοΈWohiiiii π€£π€£π€£π€£π€£
Hatareeeee alooo.!! Watu na kazi zenu.
Huyo Mh naye mnunuzi asikutishe
βοΈAsante,hata mimi nilikuwa sijui ku tag mtu
Simba ingekuwa inafanya vizuri haki ya nani wala usingeweza kuwa mbali na JF πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈπHahahahah nilitoka kidogo huko nilikua very busy my wangu... JF sijaingia nina mwezi sasa...π π π
Sis mambo πππππππ wifi yangu peke yangu, tamu ya kaka Poor Brain π€ΈββοΈ
Ole wako uniharibie taku toa mdomo huo ππππ€£π€£π€£ Basi nimeacha wifi pls mkubali Poor Brain wetu
Huyu anajiarbu kunikataa kila leoAu anakusingizia jamani!?
Ila tumuite Poor Brain anaweza lithibitisha hili.
πππππ AiseeeKwa wadada namuona ephen_ yuko poa sana kanaonekana kadada kastaarabu halafu kasikivu ridging on how she comments.
Lamomy kadada flan kacheshi,kanapenda masihara ila pia kana matani ya ukweli,kiujumla charming humble girl.
Evelyn Salt huyu mwanamama akili nyingi ila aonekana mbabe.
Lastly kipenzi changu mimi nayempendaga cocastic mwanamke mjanja na mjuaji mpaka kaivuka busara yake,yani kwa alivyo ningelimjua ningelimuweka mke wa pili kama ako single.Maana huwapenda wadada wajanja na wajuaji kupitiliza.
Kwa gentlemen nawaona wafuatao;
Poor Brain
Hammaz
Intelligent businessman
100 others
Proved .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kwelii?Hawa madada wanaonekana ni wazuri na warembo licha ya umri wao kusogea yaani ni mashangazi!
Nifah
Evelyn Salt
Madame B
Joanah
Nuzulat
Halafu kuna mdogo wao huyu anapenda sana ule mchezo!
Cocastic
Nb: Hao madada hapo juu ukimtoa Nifah (Hajajipambanua) wanapenda sana ule mchezo hasa huyo wa mwisho)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kwa upande wangu ni Active huyu mod yuko vizuri sana, mstaarabu na hana makuu wala majivuno. Nahisi ni yule mzungu kwenye zile post za picha za JF [emoji23][emoji23][emoji1787]
Wambea MUNIKOME [emoji1787]
Niko single, naomba nafasi ya kuwa mke wa 2 ipoo, uahindwee wee mwenyewe tyuu.Kwa wadada namuona ephen_ yuko poa sana kanaonekana kadada kastaarabu halafu kasikivu ridging on how she comments.
Lamomy kadada flan kacheshi,kanapenda masihara ila pia kana matani ya ukweli,kiujumla charming humble girl.
Evelyn Salt huyu mwanamama akili nyingi ila aonekana mbabe.
Lastly kipenzi changu mimi nayempendaga cocastic mwanamke mjanja na mjuaji mpaka kaivuka busara yake,yani kwa alivyo ningelimjua ningelimuweka mke wa pili kama ako single.Maana huwapenda wadada wajanja na wajuaji kupitiliza.
Kwa gentlemen nawaona wafuatao;
Poor Brain
Hammaz
Intelligent businessman
100 others
Proved .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaa had bas, ahsante katibu wangu kwa kunitambulishaa.Coca ni mwanaume [emoji81][emoji304]
Kesi ya kupoteza Cleensheet iliisha vipi mkuu?πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweliii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wajichanganye mara ngapiii??Huyo ni dume.....nyie jiachanganyeni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu mnachekeshaa wallah. Khaaaah!!Bhana acha bhana unajua mpaka naanza kutaka kulia atii!?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24].
Unataka kusema coca auza kisamvu cha kopo!?[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji2307][emoji2307]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Peleka posa uchukue jiko [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had nimepaliwaaa, wallahNdiooooo make nyie avatar na miandiko inatosha kuwadindisha.....[emoji81]