Mpare mwenzio mmoja hivi πππNani tena huyo kakuudhi mtima wa moyo wangu, em njoo inbox tuyajenge
Dah sasa itakuaje, ety dada ErythrocyteLeo ndo nimejua kwamba erythrocyte ni mdada
KabisaAnawajua watu alionao akaamua kujihami kabisa π
Nituliempaka lini sasa?π€£π€£π€£ Shem huyo Mzigua90 nishakwambia wako tulia
Huyo mpare atakuwa ni wale wanaolima tangawizi huko upareni, ila sio kama mm niliyestaarabika.Mpare mwenzio mmoja hivi πππ
Natamani sijui nimfanyeje aiseee.!!
Kumbe ni bidada?Dah sasa itakuaje, ety dada Erythrocyte
Upo na ubuyu hapo nikupigie? πππbinti kiziwi
Lamomy huyu akilewa ndo anaharibuπ
Depal mtu poa sana japo mpendwa viubuyu ubuyu πππ
π€£π€£π€£π€£ Weeeh!! Sheeendwaah!!Huyo mpare atakuwa ni wale wanaolima tangawizi huko upareni, ila sio kama mm niliyestaarabika.
Em uje pm nikubembeleze huyo mpuuzi akutoke moyoni
ππ Samaleko? Ngoja kwanza nipeleke salamu kwa Lenie. Lenie wangu bana mods wameamua kumchimbia chini. Yote kheri, life goes.Kuna huyu Lenie sijui kimemkuta nini asee!! Simwoni tena jamvini.Labda @Depal atuambie. Ni mdada mrembo na mpole pia. Ingawa ukiingia kwenye tajiri yake anakukanyanga vizuri tu.
Kuna @Depal ,ana unyamwezi mwingi sana,ila mkorofi, cute with brain. Huyu sijui kama anaweza kukaa ndani na mwanaume maana mwanamke akiwa na akili sana anapenda kumchallange mwanaume ndani. Sijui kwa huyu asee!!
Mpk Yesu atakaporudi πππNituliempaka lini sasa?
πππEbu comments ziwe fupfupi ili tuokoe muda...βΉοΈ
Andika alama ya at (@) kisha andika Mad Max tuone.Please can someone teach me how to tag/mention member humu ndichi?π«napitwa sana na mada kama hizi.
Mbona wapare tuliostaarabika tupo, inakuwaje ww unamkabidhi moyo wako mtu asijejua umuhimu wakoπ€£π€£π€£π€£ Weeeh!! Sheeendwaah!!
Huyo mpare kaniteka hujui tyuuu.!!
Ila naanza kumchoka ananiboa sanaaa!!
Ah Mm sipo huko, ww ndie umesema n dada πKumbe ni bidada?