Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Kuna huyu Lenie sijui kimemkuta nini asee!! Simwoni tena jamvini.Labda @Depal atuambie. Ni mdada mrembo na mpole pia. Ingawa ukiingia kwenye tajiri yake anakukanyanga vizuri tu.

Kuna @Depal ,ana unyamwezi mwingi sana,ila mkorofi, cute with brain. Huyu sijui kama anaweza kukaa ndani na mwanaume maana mwanamke akiwa na akili sana anapenda kumchallange mwanaume ndani. Sijui kwa huyu asee!!
😂😂 Samaleko? Ngoja kwanza nipeleke salamu kwa Lenie. Lenie wangu bana mods wameamua kumchimbia chini. Yote kheri, life goes.

Naweza sana tu ila huyo mwanaume asiwe mpole 😌
 
Back
Top Bottom