Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Mpare mwenzio mmoja hivi 😂😂😂Nani tena huyo kakuudhi mtima wa moyo wangu, em njoo inbox tuyajenge
Natamani sijui nimfanyeje aiseee.!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpare mwenzio mmoja hivi 😂😂😂Nani tena huyo kakuudhi mtima wa moyo wangu, em njoo inbox tuyajenge
Dah sasa itakuaje, ety dada ErythrocyteLeo ndo nimejua kwamba erythrocyte ni mdada
KabisaAnawajua watu alionao akaamua kujihami kabisa 😂
Nituliempaka lini sasa?🤣🤣🤣 Shem huyo Mzigua90 nishakwambia wako tulia
Huyo mpare atakuwa ni wale wanaolima tangawizi huko upareni, ila sio kama mm niliyestaarabika.Mpare mwenzio mmoja hivi 😂😂😂
Natamani sijui nimfanyeje aiseee.!!
Kumbe ni bidada?Dah sasa itakuaje, ety dada Erythrocyte
Upo na ubuyu hapo nikupigie? 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Weeeh!! Sheeendwaah!!Huyo mpare atakuwa ni wale wanaolima tangawizi huko upareni, ila sio kama mm niliyestaarabika.
Em uje pm nikubembeleze huyo mpuuzi akutoke moyoni
😂😂 Samaleko? Ngoja kwanza nipeleke salamu kwa Lenie. Lenie wangu bana mods wameamua kumchimbia chini. Yote kheri, life goes.Kuna huyu Lenie sijui kimemkuta nini asee!! Simwoni tena jamvini.Labda @Depal atuambie. Ni mdada mrembo na mpole pia. Ingawa ukiingia kwenye tajiri yake anakukanyanga vizuri tu.
Kuna @Depal ,ana unyamwezi mwingi sana,ila mkorofi, cute with brain. Huyu sijui kama anaweza kukaa ndani na mwanaume maana mwanamke akiwa na akili sana anapenda kumchallange mwanaume ndani. Sijui kwa huyu asee!!
Mpk Yesu atakaporudi 😂😂😂Nituliempaka lini sasa?
😀😀😀Ebu comments ziwe fupfupi ili tuokoe muda...☹️
Andika alama ya at (@) kisha andika Mad Max tuone.Please can someone teach me how to tag/mention member humu ndichi?😫napitwa sana na mada kama hizi.
Mbona wapare tuliostaarabika tupo, inakuwaje ww unamkabidhi moyo wako mtu asijejua umuhimu wako🤣🤣🤣🤣 Weeeh!! Sheeendwaah!!
Huyo mpare kaniteka hujui tyuuu.!!
Ila naanza kumchoka ananiboa sanaaa!!
Ah Mm sipo huko, ww ndie umesema n dada 😂Kumbe ni bidada?