Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Ni kweli upo baa unakunywaMy sheriiiiiyyyyy
My oyoyoooooh
My Omotola
My Cinderela
My beibeyyyyyy 🥰🥰🥰
Hakuna matata, ohhh mataataaah tahatahatah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli upo baa unakunywaMy sheriiiiiyyyyy
My oyoyoooooh
My Omotola
My Cinderela
My beibeyyyyyy 🥰🥰🥰
Hakuna matata, ohhh mataataaah tahatahatah
HahahaOle wao wanaoamini tu bila kuona kwa macho ,hao wataishia tu kula kwa macho.
Nalewa dogo 🤣🤣🤣Ni kweli upo baa unakunywa
😀😀😀Wee wajaze tuKwa warembo wapo wengi tu.
Kwa uchache Kuna Karucee ,ana kingereza Fulani hivi utajua tu huyu ni masomo,alafu atakuwa ni mwanasheria.
Mdada Fulani hivi anaonekana anapenda kuvaa miwani.
Kuna huyu Lenie sijui kimemkuta nini asee!! Simwoni tena jamvini.Labda Depal atuambie. Ni mdada mrembo na mpole pia. Ingawa ukiingia kwenye tajiri yake anakukanyanga vizuri tu.
Kuna Depal ,ana unyamwezi mwingi sana,ila mkorofi, cute with brain. Huyu sijui kama anaweza kukaa ndani na mwanaume maana mwanamke akiwa na akili sana anapenda kumchallange mwanaume ndani. Sijui kwa huyu asee!!
Aaliyyah ,huyu ni mrembo sana kwa mwonekano na anajua kupika. Mleta mada usiniulize nimejuaje mapishi yake?
Alafu anapenda kudeka balaa,hahaha.
Ila ana upendo na huruma sana.
Kuna dada yangu mwenyewe Chakorii .
Picha linaanza,Huyu mdada ukiongea nae kwenye simu ana sauti nzuri,wale wadada wa Customer care wa mitandao wakasome. Alafu mguu wake ni ile wanaitwa mguu wa bia. Ana kicheko Fulani hivi amazing,nakifananisha na cha Diva wa wasafi fm (lavidavi).
Kuna mmoja nilimwona kule selfika, skin tone yake tu unajua ni mrembo. Nitamtaja baadae.
Leo ndo nimejua kwamba erythrocyte ni mdadaErythrocyte anaonekana ni mchafu sana,hata kusafiri toka kyela hajawahi.
hakuna wa kupinga kwa huyuNani mwingine kastaarabika kama Shem binti kiziwi
Awe makini huko wahuni wasije wakapita naeNi kweli upo baa unakunywa
Naomba uondoke hapo bar mana muda sio mrefu watakukula kimasiharaMy sheriiiiiyyyyy
My oyoyoooooh
My Omotola
My Cinderela
My beibeyyyyyy 🥰🥰🥰
Hakuna matata, ohhh mataataaah tahatahatah
🤣🤣🤣🤣 njoo unifateNaomba uondoke hapo bar mana muda sio mrefu watakukula kimasihara
😂😂😂😂 wifi na nipo nalewa hapa!! Ulijuaje??
Mi mwenyewe wa D 2 hakuna wa kupita na mimi 🤣🤣🤣Awe makini huko wahuni wasije wakapita nae
Nani tena huyo kakuudhi mtima wa moyo wangu, em njoo inbox tuyajenge🤣🤣🤣🤣 njoo unifate
Ww mpare leo weekend nalewa kuna mtu kanikera ujue.!!
Halafu mimi sio wa kuliwa kimasihara bro