Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

List yangu ni hii
Jadda napenda anavyojiamini, anajua kuelezea hoja zake na kiukweli ninamuelewa sana
100 others nimeanza kumuelewa pale nilivyoona akinitetea sehemu tofauti jukwaani kiasi kwamba ameshalumbana na watu 2 kisa mimi
ERoni namuelewa sana, ukisikia wahuni nao wanazeeka basi ujue ni yeye
Lucas Mwashambwa ni mtu ambae nikiona magazeti yake kwangu nasikia raha sana btw mimi na yeye tunajuana
Evelyn Salt jinsi anavyojichora uhusika wake humu mimi napenda comments zake zinanivunja mbavu
sumbai hachoki kunitania basi mimi nafurahi tu..!🤸

Hawa wote naamini ni beautifuls na handsome men
Lucas unamwelewa anayesema uu miongoni mwa beautiful 🤔
 
Back
Top Bottom