Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Mvumilivu pia pia anaweza kula zilizoooza🫠vumilia,
mvumilivu hula mbovu🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mvumilivu pia pia anaweza kula zilizoooza🫠vumilia,
mvumilivu hula mbovu🐒
Lucas unamwelewa anayesema uu miongoni mwa beautiful 🤔List yangu ni hii
Jadda napenda anavyojiamini, anajua kuelezea hoja zake na kiukweli ninamuelewa sana
100 others nimeanza kumuelewa pale nilivyoona akinitetea sehemu tofauti jukwaani kiasi kwamba ameshalumbana na watu 2 kisa mimi
ERoni namuelewa sana, ukisikia wahuni nao wanazeeka basi ujue ni yeye
Lucas Mwashambwa ni mtu ambae nikiona magazeti yake kwangu nasikia raha sana btw mimi na yeye tunajuana
Evelyn Salt jinsi anavyojichora uhusika wake humu mimi napenda comments zake zinanivunja mbavu
sumbai hachoki kunitania basi mimi nafurahi tu..!🤸
Hawa wote naamini ni beautifuls na handsome men
Kasema wapi?Lucas unamwelewa anayesema uu miongoni mwa beautiful 🤔
Huyu anayejitetea🤔Kasema wapi?
Mbona sikuelewi mkuuHuyu anayejitetea🤔
Ngoja tuone kama naye Luca haelewi🤔Mbona sikuelewi mkuu
Punguza shoboKwa kuwa kapandisha hapa jukwaani nadhani hamna pingamizi🤔
UNachati kama girlfriend wangu natamani nikujueUzi wowote ambao upo jukwaa la chit chat unaruhusiwa kuongea na yeyote chochote huku ni MMU ila sio mbaya
Niruhusu nije inboxSawa
Kijana tulia kwanza niweke mambo Sawa nitakuajiri uwe bodyguard wakeHapo ni kwa ulinzi wa ephen au ni utashi wa kawaida 🤔
Haaaaah!🤣🤣🤣🤣 wee waache wajimix wakaliwe viboga
Dear hapa si unaona machawa wanavamia madaChochote tuongee hapa nitakujibu
Ww mimi demu, tunasemea hao wanaovamia watu wataenda kuliwa 😂Haaaaah!
Kwahiyo hadi wewe nimekosea kukuita mrembo!?
Tobah!Tobah!Tobah!
😮💨😮💨 Dah only for 10 minutesPm siwezi kukufungulia
😮💨😮💨 Dah only for 10 minutesPm siwezi kukufungulia
Oups Hamdulillah hapo sawa.Ww mimi demu, tunasemea hao wanaovamia watu wataenda kuliwa 😂
Sawa, unaishi mkoa gani?Hapana!
Unaringa umepima wewee!Hapana!